Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama umegundua mchezo gari za wakenya almost ni zakukodisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wacha excuses, ndio hizi zingine hapa. Ndugu yako ichoboy01 nikama ameishiwa amebaki kupost ile rolls royce ya diamond aanze kuweka mercedes, land crusier na range rover hapa. 🤣 🤣 🤣




 
😂😂😂 Hizi ni Rolls-Royce calinan.?
Rolls Royce Cullinan Black Badge is $350,000 that's around Ksh 40,000,000

Bugatti Veyron Grand Sport Vitesse is Kshs.233 million na ndio hii hapa Kenya. Nionyeshe gari expensive kuliko hii hapo bongo tuone
 
Pitieni hii thread.. zanzbar imechafuliwa balaa kisa hii warere hotel.. au andiken hata neno zanzbar muone watu wanavyoongea
Hivi tz kuna mtu anashida ya kubaka wanawake kweli ?!!!! Wanawake wamejaa chungu nzima tena warembo kushinda huyo , labda wanabakana watalii kwa watalii
 
Kama kulikuwa na wizi mkubwa na maendeleo tulikuwa tunayaona tatizo ni gani ? Sasa hivi mnasema hakuna wizi mkubwa na makusanyo ya TRA yameongezeka tena uchumi mmeufungua ila hatuoni chochote cha maana kinacho fanyika zaidi ya kuchafua vyoo ikulu tu
 
ichoboy01 Kuja uone DEVILS FORK sasa, uwache kutupostia vitu za kawaida kama land cruiser na range rover. 🤣 🤣 🤣







 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…