antoniozagarino
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 201
- 196
Twende kwenye over 30 uko 20 tulishaacha kuzungumziaThese are topped out 20+ floors towers in Nairobi atm
1. prism tower t/o 34flrs
2. First community bank tower 25flrs
3. Lemac tower t/o 26flrs
4. parliament tower t/o 26flrs
5. Kings dinstinction t/o 20flrs
true datkweli kabisa maana hawa majamaa wana interchange wanaziita flyover
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi 5 flyover in nairobi????πππWapi IT plaza ya 20 floors
sent from iPhone 7
Unajua flyover ni nini?...nawajua interchanges ina flyovers?..... Flyover ni njia nyenye inapitia juu ya lingine...process that7 acha utoto kwa hiyo hizo ndiyo flyover tano zilizo nairobi...
wakenya bwana [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mnamakelele mengi wakati hata ukiijumuisha nchi nzima hazifiki flyover5 mmezijaza interchange na bypass[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1] Collo mnazingua ....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata hamjui flyover ni niniWapi 5 flyover in nairobi????πππ
True story broMimi ni mtanzania,,,lakini lazma tukubali,,, Wakenya wametupitaaa mbaaaaliii saaan, Kielimu,,biashara,,utawala,,ubepari,,,wizi,,ushenzy woote hatuwafikii wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
jisemee mwenyewe usitulazimishe...Mimi ni mtanzania,,,lakini lazma tukubali,,, Wakenya wametupitaaa mbaaaaliii saaan, Kielimu,,biashara,,utawala,,ubepari,,,wizi,,ushenzy woote hatuwafikii wakenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Same pics as usual hahaha big white elephantsomebody asked about what is happening with pinnacle.
Things are rolling
watajuaje kitu hawajawai ona. wanaisikia kwa magazetiAta hamjui flyover ni nini
sent from iPhone 7
hata mapango mtaita flyoverAta hamjui flyover ni nini
sent from iPhone 7
Wanachimba since 2014ππππMzizima tower hiyoo...karibia wanatop jengo ,nyie ndio mnachimba lol anyway halitakua refu kama pinnacle but atleast linelaelekea kuisha
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ asante kwa mchangoAta hamjui flyover ni nini
sent from iPhone 7
πππ futa machozi basiwatajuaje kitu hawajawai ona. wanaisikia kwa magazeti
maneno ya mkosajiπππ futa machozi basi
The whole of that Mzizima Tower is equivalent to the basement floors of Pinnacle.Wanachimba since 2014ππππ
Ukiskia big white elephant ndio hio
πππππ endeleeni kuchimba tu badoThe whole of that Mzizima Tower is equivalent to the basement floors of Pinnacle.