Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama hata gated communities hakuna, barabara ya lami watatoa wapi. Dar ni kiwanja kubwa sana ya vinyumba bila mpangilio.
 
Then when one alights from dala dala, wengi wa wakazi wa Dar wanapita panya routes kufika nyumba zao.., gari haiwezi pita ndani ni corridors tu., saw these many years back, bado haija change in 2022.., huu upuzi msipeleke Dodoma.., Mwanza pia ilichemsha..,


 
Kumbe Karen ni duni? πŸ˜•
Sehemu duni ya Karen ambayo ume post but can't find it kwa google earth!! giving you the benefit of doubt, sehemu ilio duni sio Karen yoote, so matako ya Karen ni nafuu kuliko makazi ya DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wacha nikuwekee google earth ya Karen kila sehemu..,



 
Dar is just 10 to 15km squared pekee ndio wao hupost hapa. Hio area ingine yote ni uswazi tupu.
This I noticed many years back tayari nilisha waambia humu, wakakasirika wakamwaga angles zote za picha ya Kibera kujiliwaza 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
This I noticed many years back tayari nilisha waambia humu, wakakasirika wakamwaga angles zote za picha ya Kibera kujiliwaza 🀣 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Hawana content. Ile construction boom time ya TPA na PSPF ndio iliwachocha wanaweza compete na Nairobi. After hio bubble iliburst wamebaki wakijiconsole hapa while construction boom ya Nairobi inaendelea at a fast pace. Hii thread ikianza over 5 years ago our 5th CBD, Mombasa road bado ilikua at infancy stage, sahii the growth is on steroids.

 
Mbona Wakenya Mlipo Humu JF saivi Ni Vilaza hivyo!!

Kaitaba Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Amani Mpira Unachezwa Usiku na Kuna Nyasi Bandia
Hizo picha Umezitoa Wapi!!
Haya, tuwekee picha halisi za hizo viwanja kama nimedanganya.πŸ™‚πŸ™‚
 
aa wapi.!? swagg za kibongo mshipa.!! infact kenyans stereotype bongolalas as lazy, unlearned, laidback, anti-tech savvy, can't comm in english, not affluent and wealthy, minimal middle class <0.5%, poor housing throughout tz, witchcraft hub, dar not an intl' city, saangapi tuna iga swagg za kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…