joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Siku hizi mnapigania Kiswahili badala ya kuona Tanzania inakipaisha duniani, mwanzo mlikua mnakidharau Sana Kiswahili[emoji23][emoji23][emoji23]Kizungu pia ni tatizo. Sijui kama wametengenezewa uber app ya kiswahili au vipi.
Sio hivi lakini, mabalozi wetu wakishirikiana na wizara ya Utalii wanatosha Sana, mbona juzi tu alikuwepo "Dubai Expo" ambako alitangaza Utalii vizuri tu, kabla ya hapo alikua France, Belgium?utalii former leading foreign exchange earner for the country haiihitaji revamp?
Wacha kujidanganya na kujifurahisha, Kenya is a "Failed state" Dunia nzima inajuaHili Tanzanians can't grasp.., Kenya is on another level, despite the challenges we ain't equals with Tz.., hapa it is too obvious, kuna many factors I can outline between the two countries kuonyesha Tz is way below..,
Mkuu activities nyingi zipo hapa nchini kuliko huko nje, mkuu nikiangalia kazi za rais zilivyonyingi hapa nchini, na gharama tunazotumia kulipia ofisi za balozi zetu huko nje, sioni sababu yoyote Ile kwa rais kusafiri kiasi hiki, Sasa atawezaje kuzuia maafisa wengine wa serikali kutunga safari za nje hovyo hovyo?,atakuwa na activities nyingi si hiyo tu!
waziri wa Utalii si katolewa huyu aliyepo mpya? 😀😀Sio hivi lakini, mabalozi wetu wakishirikiana na wizara ya Utalii wanatosha Sana, mbona juzi tu alikuwepo "Dubai Expo" ambako alitangaza Utalii vizuri tu, kabla ya hapo alikua France, Belgium?
Mkuu, kiongozi wa nchi hapaswi kuzinguka hovyo kiasi hiki, Sasa ndani ya miezi 3 ya mwanzo ya mwaka huu pekee ameshatembelea zaidi ya nchi 5.
Wizara ya Utalii Kuna kitengo kizuri Sana cha kutangaza utalii, haijalishi waziri gani yupo ofisini.waziri wa Utalii si katolewa huyu aliyepo mpya? 😀😀
Huyo Rais ni bomu la kitaifa linalosubiri kulipuka mda c mrefu, na usidhani hao wanaomtetea hawajui hilo, la hasha, wanajua fika kwamba huyo mama hajui anachokifanya, sema tu kuna ule ushindani wa kitoto wa kuhakikisha Magu hapati heshima yake, huyo mama kwake yeye ni bora siku imeisha miaka isonge akashangae shangae duniani mda wake uishe aandike kitabu naye alikuwa Rais but kusema ana malengo aliyojiwekea utakuwa ni uongo mkubwa sana.Wizara ya Utalii Kuna kitengo kizuri Sana cha kutangaza utalii, haijalishi waziri gani yupo ofosini.
Tanzania tunasisitiza diplomasia ya uchumi, kwamba balozi yeyote atapimwa kulingana na utendaji wake katika eneo Hilo la kuvutia watalii na uwekezaji, tena huko USA ndio tumewekeza nguvu kubwa Sana.
Hapaswi kuzunguka Sana, huku nyuma watu watajisahahu Sana, bahati mbaya hata makamu wa rais pia ni mpole Sana, watu hawaogopi tena, binadamu bila kuogopa serikali hawafanyi kazi ipadavyo
Simaanishi hizo nazungumzia LED billboards around the pitch. Kama hizo hapo chini.Wewe umeidharau Kenya sana. Unataka billboard tu? Sisi tuna hadi TV kubwa kwenye stadium. Hivi unajua kwamba Kenya ndio nchi ya kwanza barani Afrika kuhost world athletics championships under 18 na under 20? Wanariadha chipukizi kutoka kila kona la dunia walikuja Nairobi kwa mashindano?
View attachment 2186899
View attachment 2186900
View attachment 2186902
Kismayu ilikuwa makao makuu ya Al Shabab tangu wafurushwe kutoka Mogadishu na Jeshi la Uganda. Walipofurushwa walihamisha makao yao hadi Kismayu.
watu juzi hapa wametwaa Kismayo yenye miaka 30 bila serikali wanajitapa! Oooh God forbid...!🤭🤭🤭
Hivi karibuni Lamu port itaanza kuhudumia Dar[emoji23]Hahaha ukiona meli zenyewe zinakataa kuberth Dar port and they decide to offload their cargo at Mombasa port for onward transhipment hapo ndio unajua their port is completely bogus. Kwanza hio MSC shipping line imekataa kabisa kupanga foleni hapo Dar port. Wao hawana muda wa kupoteza.
Huu mwezi pekee containers za malazy 7,984 zimemwagwa Mombasa port.
View attachment 2186838
Mkuu unajua kwamba Kitendo cha Magufuli kuzuia safari za nje na yeye mwenyewe kutosafiri hovyo ndio chimbuko la ununuzi wa ndege za ATCL?, Je safari za Kikwete zilizaa kitu gani ambacho Leo watanzania tunaweza kujivunia?waziri wa Utalii si katolewa huyu aliyepo mpya? 😀😀
Kwa sasa ni hili..#Mamayupokazini#
Hii Dandora imeshinda. Infact this Azam thing is a field and not a stadiumHii ndio kitu unataka kulinganisha na Ulinzi complex? Hii ligi yake Dandora stadium.
View attachment 2186852
Sasa Kama Uganda waliweza kuwafurusha Mogadishu hawajisifu, vipi ninyi mnajisifu kuwafurusha Kismayu tayari wameshadhoofishwa na Jeshi la Uganda?Kismayu ilikuwa makao makuu ya Al Shabab tangu wafurushwe kutoka Mogadishu na Jeshi la Uganda. Walipofurushwa walihamisha makao yao hadi Kismayu.
Haukwepi, ya Kenya huwa wazi siku zote na tunalijua sana, ila Tanzania ni balaa, yaani ukiangalia deni ongeza na budget yenu, alafu utazame hiyo uchumi wenu hafifu, yaani pato kwa mwaka ni aibu kwa nchi kubwa ya idadi kubwa ya watu.., ufukara on display, you are LDC for sure, hamujiwezi!!!.., mtu ako na watoto wengi, mahitaji mengi na mshahara kidogo..., ufukara, Tanzania is fundamentally poor, which is a mindset, yaani ujinga tupu., hamfai kukuwa vile kabisa, hamuna any reason whatsoever, so ni ujinga wenu tu.
Azam complex is a field. Wewe ushaiona stadium gani washabiki wanaketi Kwa nyasi na kipigwa na jua wakitazama mechi?A field in electronic billboard around the pitch umeona wapi hiyo? Lete uwanja wowote kunyaland ambao una electronic billboard kuzunguka uwanja.
Hujui kukaa nje week mbili huko USA ni "kujenga democrasia ya uchumi"😄.. hakika anaupiga mwingi hadi unamwagikaTwo week visit?, Mkuu hii sio sawa, ni miezi michache iliyopita alikua hukohuko USA, mkuu nadhani amezidisha Sana muda wa kusafiri, kipindi hiki Kuna Mambo mengi Sana hapa nchini yanahitaji usimamizi wa rais
Najua concern yako ila nangoja kuona mbali na Royal Tour, nn zaidi kinachompeleka, kama aki-sign mega deals, sina tatizo! Isije ikawa kuna makubaliano ya LNG mie nibaki nikikufuru!Mkuu unajua kwamba Kitendo cha Magufuli kuzuia safari za nje na yeye mwenyewe kutosafiri hovyo ndio chimbuko la ununuzi wa ndege za ATCL?, Je safari za Kikwete zilizaa kitu gani ambacho Leo watanzania tunaweza kujivunia?
LAPSSET cost is bigger than the cost of all Tanzanian projects combined.Sikiliza, kwasasa Tanzania tunaongoza tunaongoza katika miradi mingi inayotumia pesa za ndani, chukua miradi miwili pekee,
1)Ujenzi wa bwawa la umeme $3B
2) Ununuzi wa ndege 15 za ATCL $2.2B
Jumla $5.2B
Kenya + Uganda +Rwanda kwa pamoja hamuwezi fikia hiyo pesa