Ukweli ni kwamba sheria ya ardhi Kenya INA MPA MTU mamlaka ya makubwa ya ardhi kuliko serekali , kwa hiyo kupitisha brt Nairobi wataitaji Ku lipa watu fudia na unapokuja swala hiyo watu wata leta fidia za ajabu maana ardhi anamamlaka NAYO makubwa , hamtakaa mfanikiwe kupitisha brt Nairobi wala hiyo trenithere was a plan for BRT in Nairobi yes but it was shelved...BRT wouldnt work ffor this city like it did for Dar...so thats why they have brought up plans for light rails...
Hebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes kwahiyo hicho ni kigezo tosha kuwa Nairobi is not better than Dar esalaamyeah.. ni kweli. Nairobi na Moro zote ziko inland.
lakini ukiangalia infrastructure between dar na Nairobi.... unaweza kusema ni jiji gani lililo endelea na kujistawi
safi....we waache tu wajifariji maana mbasa washaiharibu ipo kama mtumbwiHebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes kwahiyo hicho ni kigezo tosha kuwa Nairobi is not better than Dar esalaam
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] nazani watakuwa wameenda kufanya photography za mataa wait soon will be uploadedsafi....we waache tu wajifariji maana mbasa washaiharibu ipo kama mtumbwi
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hivyo dar imeendelea kushinda Johannesburg....Hebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes kwahiyo hicho ni kigezo tosha kuwa Nairobi is not better than Dar esalaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kuna vitu vinatueleza kabisa mtu flani ni wa aina gani, yaaani katika karne hii mtu hana uelewa wowote wa mass transit anastaajabu watu kusimama kwenye basi ambalo ndio lemekua designed kwa kazi hiyo, Halafu kuna mtu analinganisha basi la kubebea abiria ndani ya uwanja wa ndege (NDANI) na BRT ? na ulimwengu huu wa internet Kazi ipo, Halafu watu hawa wanatoka nchi inayojiita advanced nation in AFRICA ?kama ni basi tuna hizi za airport...wachana na BRT
point ya msingi sana hiyo....nilitaka niieleze jana....asante kwa kuniwahi comrade.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Ukweli ni kwamba sheria ya ardhi Kenya INA MPA MTU mamlaka ya makubwa ya ardhi kuliko serekali , kwa hiyo kupitisha brt Nairobi wataitaji Ku lipa watu fudia na unapokuja swala hiyo watu wata leta fidia za ajabu maana ardhi anamamlaka NAYO makubwa , hamtakaa mfanikiwe kupitisha brt Nairobi wala hiyo treni
spensa_e
acha kutulisha maneno wewe....wapi tulisema dar is more developed than johannesburg?kwa hivyo dar imeendelea kushinda Johannesburg....
you have nailed it bro....a pain in their ass.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Yaani kuna vitu vinatueleza kabisa mtu flani ni wa aina gani, yaaani katika karne hii mtu hana uelewa wowote wa mass transit anastaajabu watu kusimama kwenye basi ambalo ndio lemekua designed kwa kazi hiyo, Halafu kuna mtu analinganisha basi la kubebea abiria ndani ya uwanja wa ndege (NDANI) na BRT ? na ulimwengu huu wa internet Kazi ipo, Halafu watu hawa wanatoka nchi inayojiita advanced nation in AFRICA ?
kuna mtu kasema kuwaacha kutulisha maneno wewe....wapi tulisema dar is more developed than johannesburg?
na Johannesburg haiko karibu na bahari. sasa ndio maana naomba ufafanuziHebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes
London,Beijing,Madrid,Lisbon,Moscow,Delhi,Berlin,Paris haziko kwa oceons...so dar ni better than those citiesHebu angalia majiji makubwa duniani yako either near by oceans or lakes kwahiyo hicho ni kigezo tosha kuwa Nairobi is not better than Dar esalaam
Sent using Jamii Forums mobile app
na machoWewe unaonaje!?
Umehama mada mkuu rudi katika haja ya msingi [emoji666] DAR ina ubora kuliko Nairobi kwa vigezo vya ubora wa asili na mazingira hapo ni first point sijagusia infrastructureLondon,Beijing,Madrid,Lisbon,Moscow,Delhi,Berlin,Paris haziko kwa oceons...so dar ni better than those cities
sent from iPhone 7
Tunaongelea development msee..kama hushikanishi rudi moshiUmehama mada mkuu rudi katika haja ya msingi [emoji666] DAR ina ubora kuliko Nairobi kwa vigezo vya ubora wa asili na mazingira hapo ni first point sijagusia infrastructure
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu leta map hapa tuthibishe uongo uliousemana macho
London,Beijing,Madrid,Lisbon,Moscow,Delhi,Berlin,Paris haziko kwa oceons...so dar ni better than those cities
sent from iPhone 7
hakutaja johannesburg....hukumuelewa.kuna mtu kasema kuwa
na Johannesburg haiko karibu na bahari. sasa ndio maana naomba ufafanuzi
Are you sure London haiko karibu na Lake?London,Beijing,Madrid,Lisbon,Moscow,Delhi,Berlin,Paris haziko kwa oceons...so dar ni better than those cities
sent from iPhone 7