Kuna jamaa alikuwa ni dereva wetu wa uber kapost hiv status whatsapp.. kuna kitu hakipo sawa huko uber
View attachment 2186826
Mzee hao Wafaransa sio Mungu. Na Kenya sio weak unavyodhani wewe. Watu wangapi wamejaribu kutuangamiza ikiwemo Al Shabab na wameshindwa? Uzuri hatufanyi biashara na France kwa sana kwa hivyo hatuwategemei kwa lolote. Ingekuwa Netherlands au UK ndio pengine tungehaha.Hahaha
It's not about Franco phone or Anglo phone issue mzee..
Issue ni vile France operatives wanavyo deal na weak African states like yours. Mpaka mmeshituka mkamtimua it means the guy already inflicts a lot of damage to your country. Nchi ya kitu kidogo... Ni kuamsha tu sleeper..
And you are done.
Let's wait n see.. Vile mmejaza ukabila.. Na insecurities at northern parts.. Hao jamaa they will just supply ammunition and Intel to your enemies.. Something which they are good at... God forbid.
Differentiate between a stadium and a field. Azam is a field.Google azam complex halafu kale githeri na chapo mix kupunguza hasira
Dar port haina uwezo wa kushindana na Mombasa port[emoji23]chongchung bado unashikilia kwamba Tanzania ndio logistics hub ya EA hata baada ya kusoma hii ripoti mpya ya jana?
Baadhi za meli zinakataa kupanga foleni Dar port zinaprefer kumwaga mizigo yenu Mombasa port kisha baadaye zifanyiwe transhipment hadi Dar port.
Mombasa port transshipment business grows
Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.
The Port of Mombasa is recording increased transshipment business as more ships evade berthing “delays and waiting” at the Dar port.
Over the past month, Mombasa has handled more than 10 feeder ships transshipping Port of Dar es Salaam containers advancing her opportunities for a regional transshipment hub.
MSc Shipping Line, the second global liner, has confirmed using the port of Mombasa until the situation normalises in Dar es Salaam. Others include CMA CGM and Maersk Shipping Lines.
Statistics show that at the beginning of this month 7,894 Twenty Feet Equivalent Units transshipment to Dar landed in Mombasa to await nomination for second carriers to the ports of Dar and Zanzibar.
KPA general manager (operations) Sudi Mwasinago says among the lines discharging in Mombasa for Dar es Salaam, MSC accounts for 75 percent of the volumes while CMA CGM and Maersk take 24 percent and nine percent respectively. "There has been a significant rise in transshipment business," said Mr Mwasinago
Mombasa port transshipment business grows
Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.www.businessdailyafrica.com
Hahaha ukiona meli zenyewe zinakataa kuberth Dar port and they decide to offload their cargo at Mombasa port for onward transhipment hapo ndio unajua their port is completely bogus. Kwanza hio MSC shipping line imekataa kabisa kupanga foleni hapo Dar port. Wao hawana muda wa kupoteza.Dar port haina uwezo wa kushindana na Mombasa port[emoji23]
Firstly It's hard to believe it because the report comes from the main competitor of the Dar port,chongchung bado unashikilia kwamba Tanzania ndio logistics hub ya EA hata baada ya kusoma hii ripoti mpya ya jana?
Baadhi za meli zinakataa kupanga foleni Dar port zinaprefer kumwaga mizigo yenu Mombasa port kisha baadaye zifanyiwe transhipment hadi Dar port.
Mombasa port transshipment business grows
Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.
The Port of Mombasa is recording increased transshipment business as more ships evade berthing “delays and waiting” at the Dar port.
Over the past month, Mombasa has handled more than 10 feeder ships transshipping Port of Dar es Salaam containers advancing her opportunities for a regional transshipment hub.
MSc Shipping Line, the second global liner, has confirmed using the port of Mombasa until the situation normalises in Dar es Salaam. Others include CMA CGM and Maersk Shipping Lines.
Statistics show that at the beginning of this month 7,894 Twenty Feet Equivalent Units transshipment to Dar landed in Mombasa to await nomination for second carriers to the ports of Dar and Zanzibar.
KPA general manager (operations) Sudi Mwasinago says among the lines discharging in Mombasa for Dar es Salaam, MSC accounts for 75 percent of the volumes while CMA CGM and Maersk take 24 percent and nine percent respectively. "There has been a significant rise in transshipment business," said Mr Mwasinago
Mombasa port transshipment business grows
Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are delays at the Dar es Salaam port.www.businessdailyafrica.com
Wacha matusi budaKwenda kabisa. Kwani unafikiri Kenya inaitegemea France kwa lolote? Unafikiri Kenya ni West African countries (Francophone countries) zinazofirwa na France usiku na mchana?
Hahaha. Naona unajaribu kutafuta pa kutokea. Sasa mtakuwaje logistics hub ikiwa meli zenyewe zinawatoroka?Firstly It's hard to believe it because the report comes from the main competitor of the Dar port,
it is easy to have the intention of ruin the blooming business Dar dominates currently, But even doing the transhipment does not mean you are a logistics hub because after the transhipment from Mombasa to Dar still Dar will become an important source of cargo for all countries that depend on Tanzanian ports no matter how many transhipments occurred on the way to the destination.
Hii ndio kitu unataka kulinganisha na Ulinzi complex? Hii ligi yake Dandora stadium.Google azam complex halafu kale githeri na chapo mix kupunguza hasira
Two week visit?, Mkuu hii sio sawa, ni miezi michache iliyopita alikua hukohuko USA, mkuu nadhani amezidisha Sana muda wa kusafiri, kipindi hiki Kuna Mambo mengi Sana hapa nchini yanahitaji usimamizi wa rais
Uchumi hafifu, nchi kubwa, watu wengi, pato ni kidogo sana, budget ni kubwa na madeni yanaongezeka., ufukara tupu😂😂😂😂😂.,Kila kitu kinakwenda Kama kilivyopangwa, wapi umesikia Kuna upungufu wa pesa?
Sijawahi kamwe kusikia kwamba rais wa nchi moja anakwenda kutembelea nchi nyingine for 2 weeks. Unless rais mwenyewe ni mgonjwa anakwenda kupata matibabu kama Buhari wa Nigeria alipokwenda England kupata matibabu. 2 weeks ni nyingi mno. Kodi ya Watanzania ndio itakayotumika kwa matumizi yake ya kila siku na pia matumizi ya watu aliokwenda nao huko.
Two week visit?, Mkuu hii sio sawa, no miezi michache iliyopita alikua hukohuko USA, mkuu nadhani amezidisha Sana muda wa kusafiri, kipindi hili Kuna Mambo mengi Sana hapa nchini yanahitaji usimamizi wa rais
Kweli kabisa, walikataa kutoa mkopo wa kujenga bwawa la umeme kwa kisingizio cha kuaribu urithi wa Dunia kule Selous National park, tukachomoa $3B kutoka mfukoni kwetu, hivi Sasa ujenzi umefikia 60%
Kenya baada ya mchina kukataa kutoa pesa, reli ikaishia porini, can you compare the two?
🤣 🤣 🤣 😂 😂., Tanzania kumbe kulikua Uber?.., u hardly see them on the streets., mazingira mbovu kwa biashara.., wangesema tu ukweli, wateja pia ni wachache🤣🤣😂😂Hahaha NairobiWalker
pingli-nywee
MK254
Teargass
nairobae
mwathadan
Timo25
dyfre
Don YF
come see this.
View attachment 2186802
Kizungu pia ni tatizo. Sijui kama wametengenezewa uber app ya kiswahili au vipi.🤣 🤣 🤣 😂 😂., Tanzania kumbe kulikua Uber?.., u hardly see them in the streets., mazingira mbovu kwa biashara.., wangesema tu ukweli, wateja pia ni wachache🤣🤣😂😂
utalii former leading foreign exchange earner for the country haiihitaji revamp?Two week visit?, Mkuu hii sio sawa, ni miezi michache iliyopita alikua hukohuko USA, mkuu nadhani amezidisha Sana muda wa kusafiri, kipindi hiki Kuna Mambo mengi Sana hapa nchini yanahitaji usimamizi wa rais