Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Point kuu ni kuwa Mombasa handles 34M tonnes while Dar is only handling 16M tonnes [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Izo tonnes nyingi ni vyakula kutoka nje right?hamna hela ya kuagiza vitu vya maana
 
More market ambazo sio modern? Au kwenu quantity ndio kila kitu sio quality [emoji16][emoji16][emoji16]
You don't have any modern stuff in Tz. What you have are tiny buildings in the name of markets 😂😂😂🤣😂
 
Ofcz angalia nairobi juakali ni wengi kuliko wenye hali nzuri
Heri kuwa mtu wa jua Kali kuliko kukosa Kazi kabisa kama hao wa Dar. Na ndio maana Tz leads in the number of poor people in East Africa 😂😂🤣😂
 
You don't have any modern stuff in Tz. What you have are tiny buildings in the name of markets [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Hauna aibu...icho ndio kitu kinachokufanya uone kuongea ni jambo rahisi
 
Hahahahah, sijui nimesoma vyema au ni mang'amung'amu, kwani umeweka hao watu kwa sentesi moja? Uyo bibi kitu amefanikiw nikutuongezea deni la taifa na nadhani mpka 2025 tutakuw pazurii katika nafasi kama sio sawa na wakunya, na km huyo bibi angekuw rais bada ya JK sina uhakik kama tungekuwa hata na chakufungulia huu uzi zidi ya nyangau
 
Jaribu bahati yenu wakunya wote nileteni tu daraja la cable stayed bridge kunya nzima sio ndani ya ako kaushuzi pekee Kuna vichaaa alafu mbelenkidgo ya level ya vichaa ndio unafwata....
 
Deni litaendelea kukua,kikubwa angalia maisha yako binafsi kwa sasa unafaidika vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…