Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But I don't see any difference between the two pictures,l. In both, the quality is pathetic.[emoji23]

The road is still Under construction tulia, from hatuna hela ya kujenga mpaka hamna tofauti [emoji1787], unahamisha sana magoli wewe. The road is still under construction, with beautiful side walks, Concrete poles , Road Marking etc.

 
Mwambie bibi ako akupee Panadol!!!
Why? I don't suffer from any pain that can make me take any analgesic drug. And even if I was to take the analgesic drugs, I don't think if the 500mg paracetamol quantity in the Panadol can relieve itπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
This road is of low quality πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Kuna mtu alikuwa anataka battle ya markets, sijui kamepotea wapi?πŸ€£πŸ˜‚
 
ichoboy01 wajinga wa Russia wanaondoka Kiev. Hata president wa Ukraine ameconfirm kwamba jeshi la Russia baada ya kula kichapo kizito wameondoka Kiev. Sasa sijui ulikuwa unapinga nini? Kubali yaishe kwamba hawa wajinga wa Putin wamefukuzwa Kiev ambayo ndio capital city ya Ukraine. Usicheze na Javelin ATGM ya marekani na NLAW ya UK kwa kupika tank za Mrusi hadi zikawa kama chapati.
 
asante kwa western propaganda 🀣🀣🀣🀣
 
This is Kibanda. I want you to show us big markets like this one here in Kisumu πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 2173914

View attachment 2173915
hujanijibu swali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sasa umeanza kuonesha mabanda market asante sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

huu uchafu gani mzeeπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…