Reli,roads mmh mtakuja kubaki historykumdanganya kivipi? tunawaambia reli inakuja...ndio hio imefika...tukawaambia tutaleta barabara ya thika road...sasa hivi ndio barabara bora afrik mashariki nzima..mombasa port ndio port kubwa ukanda huu...airport yetu pia..wakati mmenunua nedege bombadier zafanana na mitungi ya chang'aa lol! huwa mnachekesha sana mkuu
Hadi ije tumelala tunawangoja [emoji102]kuna beast inakuja ndugu..tulia sindano iingie
mapicha yatiirrike kwanza kisha niamue...ila kuna nairobi mombasa high speed highway..lol! umesahau natulkua nawewe kule kwa uzi...yaani inajengwa na wamarekani...hehe...mkileta moja tubaleta mbili...wakenya ni watu wa ajabu...by the way mkuu...the pinnacle towers haikuwa iwe the tallest but after they saw TPA, they revised it and it became the tallest...yaani huwa tuangoja mjenge ya mawingu ili sisi tulete ya kufika mbinguni...its called EA most advanced economy...hakuna mchezo hapa...hapa kazi tu...Thika will soon became best of the past. ..Dar to Chalinze super doper highway will replace baby thika[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
haya ...wazungu walisema Rome wasnt built in a day...
North you talk of Cairo, West you talk of Lagos, South you talk of Jo'Burg and of course East the Beast is Nairobi.Matumizi mabaya ya beast Ojey don't do that again lol ati beast[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
There is a superhighway to Isiolo in the pipeline.....thats 400 km plus. . .LDC mtajua hamjuiThika will soon became best of the past. ..Dar to Chalinze super doper highway will replace baby thika[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
uliza tu be freelakini nikuulize mkuu..nina swali..
hahah yani maneno yako hua yananifurahisha sana we unatuetea mambo ya ndoto ya 40 yrs kaka 😀😀😀😀mapicha yatiirrike kwanza kisha niamue...ila kuna nairobi mombasa high speed highway..lol! umesahau natulkua nawewe kule kwa uzi...yaani inajengwa na wamarekani...hehe...mkileta moja tubaleta mbili...wakenya ni watu wa ajabu...by the way mkuu...the pinnacle towers haikuwa iwe the tallest but after they saw TPA, they revised it and it became the tallest...yaani huwa tuangoja mjenge ya mawingu ili sisi tulete ya kufika mbinguni...its called EA most advanced economy...hakuna mchezo hapa...hapa kazi tu...
[emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ewalaahTutawasumbua na electrified sgr hamtaamini. ...sasa sijui nani atakua kasoma no vizur
Sent using Jamii Forums mobile app
You follow so much on Kenyan affairs. But it's good at least we know you look up to us.nikisema kuwa nyie wakenya asilimia kubwa ni machizi kutokana na ugumu wa life hapo nairobi mtakataa
hebu jitazameni stupid kenyan[emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa jinsi anavyojidanganya jengo litaisha kwa mwaka mmoja na miezi kadhaa.....uyo jamaa ana vituko kweli....kizuri siku hazigandihaya nawewe nakwambia kama nilivomwambia mwenzako hio ni ndoto ya alinacha itabaki ya history ila tafadhali usije nikimbia nakusihi😀😀😀😀😀😀😀😀
nyie ndiyo macartoon wa dunia ....lazima tuwacheck ili tuwape msaada wakisaikoloj maana asilimia 80 ya wakenya ni machizi matahila.....[emoji12] [emoji1] [emoji1]You follow so much on Kenyan affairs. But it's good at least we know you look up to us.
Sent using Jamii Forums mobile app
But we didn't ask for your support.nyie ndiyo macartoon wa dunia ....lazima tuwacheck ili tuwape msaada wakisaikoloj maana asilimia 80 ya wakenya ni machizi matahila.....[emoji12] [emoji1] [emoji1]
hata hao wakenya wenzenu wanao sababisha vifo kosa si lao ni uchizi na umaskini[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji12] [emoji12] ila pia na wasi wasi nawewe utakuwa haupo timamu
Na ukijua Montave,with 3 tallest skyscrapers near The pinnacle liko mb ioni si utateta tena,,,hohoIzo nyumba za avic na pinnacle ndio zimewaboost sana last year mlikua na nyumba 30 vs 27 nashangaa ghafla mmepaa [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Lakini si ndio kwanza wanachimba msingi mana sio kwa mbio hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
achana nahuyo pengine anatafuta umaarufu kama vile githeriman...Hayo ndio matunda ya unemploument in kenya
View attachment 572414