Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2019 ndio mtasoma namba....yaani mpaka johannesburg wameanza kutetemeka...wacha nikuletee link flani ya waafrika kusini walivolalamika...
ahhahaah hio sio nairaland my friend hapa hakuna utaemdanganya nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kaangalie hass walianza kuchimba mwaka gani???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hamna taabu....bora tu 2019 jengo lenyewe litakua limeisha...yaani hii ni glass building na ni twin towers...yaani hata jengo la pili litakuwa ndefu kuliko zote afrika mashariki...tutakua na mijengo 5 sasa,,,kisha hako kenu kanakuja namba sita....namba mtasoma...hehe
 
ahhahaah hio sio nairaland my friend hapa hakuna utaemdanganya nduguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
CGTN africa kwa youtube...by the way, CGTN africa headquarters zipo Nairobi na Johannesburg pekee yake..tazama DSTV kama unayo mkuu
 
hahahah asante leo kwa kutuletea white elephants tunashkuru sana broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
jamii forum sio nairaland
 
CGTN africa kwa youtube...by the way, CGTN africa headquarters zipo Nairobi na Johannesburg pekee yake..tazama DSTV kama unayo mkuu
uliko wewe mm nishatoka kaka kuna mtu tulibishana kuhusu hio hass hvihvi nikamwambia hio ni ndoto ya alinacha akanibishia zimepita 4 yrs leo kanikimbia sasa nawewe nakwambia hio ni big white elephant kama unabisha utaniambia mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahah asante leo kwa kutuletea white elephants tunashkuru sana broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
jamii forum sio nairaland
hehe...sawa...mpaka umenikumbusha mkuu...wa nigeria pia wana lalamika na waendeleo ya Kenya...ukipata mda ndio hio scroll uone waafrika kusini wakilia lia na kumwaga kamasi
 
muda utaamua sio wewe au mimi...ila 2019 naona ukilia lia na kumwaga kamasi kama wenzako wa magharibi na wengine wa kusini mwa afrika
 
muda utaamua sio wewe au mimi...ila 2019 naona ukilia lia na kumwaga kamasi kama wenzako wa magharibi na wengine wa kusini mwa afrika
haya nawewe nakwambia kama nilivomwambia mwenzako hio ni ndoto ya alinacha itabaki ya history ila tafadhali usije nikimbia nakusihiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hehe...sawa...mpaka umenikumbusha mkuu...wa nigeria pia wana lalamika na waendeleo ya Kenya...ukipata mda ndio hio scroll uone waafrika kusini wakilia lia na kumwaga kamasi
Nigeria hua munawatia kamba ila kwa wabongo hakuna mutadanganya hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na nakusihi usije jaribu kumdanganya mbongo utaumbuka
 
haya nawewe nakwambia kama nilivomwambia mwenzako hio ni ndoto ya alinacha itabaki ya history ila tafadhali usije nikimbia nakusihiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
haya mkuu...naona umekua prophet..hehe
 
Nigeria hua munawatia kamba ila kwa wabongo hakuna mutadanganya hapaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na nakusihi usije jaribu kumdanganya mbongo utaumbuka
kumdanganya kivipi? tunawaambia reli inakuja...ndio hio imefika...tukawaambia tutaleta barabara ya thika road...sasa hivi ndio barabara bora afrik mashariki nzima..mombasa port ndio port kubwa ukanda huu...airport yetu pia..wakati mmenunua nedege bombadier zafanana na mitungi ya chang'aa lol! huwa mnachekesha sana mkuu
 
mm sio prophet ila ndio nakwambia usije kimbia kama mwenzako ndugu nakusihiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sasawa mkuu..bora nawe pia usikimbie..unajua ni two-way..yaani double edged sword..kuna kupata kisha kuna kupatikana
 
Thika will soon became best of the past. ..Dar to Chalinze super doper highway will replace baby thika[emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…