chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,742
- 46,084
Wana inferiority syndrome, wasipozungumzwa na Watanzania wanaona maisha hayapo, kunyaland ipo desperate sana na Tanzania, laiti hizo t-shirts na mifuko ingeandikwa made in UK usingesikia chochote kutoka kwa yeyote, shida inakuja kwa why Tanzania?wakenya ni wapuuzi sana inapotokea masuala ya kiushindani wa bidhaa kimasoko na Tz wakenya huwa ni waoga sana,,
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Wenye emotional reactions ni ninyi mnaopata sleepless nights mnapoona namna Tanzania imekamata soko la finished products and raw materials kunyaland na mtateseka sanaIf you stop having emotional reactions to everything you read on twitter, you'll have better sleeps at night.
Wameanza kuzoea mana hakuna namna wanaweza kuepuka bidhaa za Tz cz ni cheap na zenye quality kuliko bidhaa zao low quality na zinazouzwa at exorbitant price. Unajua ktk biashara ukitaka ku win basi uza cheap ukizingatia unaowauzia population kubwa ni maskini kama Wakenya wengi.
Heeheee.......naona imekuuma bro.🤣Wenye emotional reactions ni ninyi mnaopata sleepless nights mnapoona namna Tanzania imekamata soko la finished products and raw materials kunyaland na mtateseka sana
tatizo lako umepanic mapema sana mbona sehemu za paved hujaonesha 😂😂😂 yani mzungu aweke satellite juu asione slum dar ila aone slum za dunia nzima seriousThis is how dar looks like, grow some balls and get it over with... And regardless if there are slums in Nairobi or not, has nothing to do with the situation down there..
And hey, do i really have to crop it for you to see?View attachment 2162310
View attachment 2162309
tuoneshe slum sasa tatizo lenu nyinyi hamutaki kuzoom 😂😂😂 munalazmisha tuwe na uharo kama wenu wakati hatunaThis is how dar looks like, grow some balls and get it over with... And regardless if there are slums in Nairobi or not, has nothing to do with the situation down there..
And hey, do i really have to crop it for you to see?View attachment 2162310
View attachment 2162309
na huku tanzania wamebakia kuuza blueband pekee na yenyewe sasa hvi inaenda kufa 🤣Kenya Wana roho mbaya Sana, ukiwazidi kibiashara lazima wataanzisha fujo, wamezuia maziwa ya Loto, sukari, na mayai toka Uganda kwa sababu hizohizo
naona zwazwa kapanic 😂😂😂 anatoa povu la 21st centuryWenye emotional reactions ni ninyi mnaopata sleepless nights mnapoona namna Tanzania imekamata soko la finished products and raw materials kunyaland na mtateseka sana
Porini .......eti ni beauty ....blah blah blahhh .....ebu onesha na kule kiberaHapa Kenya pia,so beautiful [emoji3059][emoji3590]View attachment 2162189
Msikieni cartoon [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakati cement production in Tanzania is 6M and consumption is merely 5M, Kenya is producing 7.5M and consuming 7.3M.
View attachment 2162577
Nyinyi hata Uganda imewashinda ikifika kwa cement production and consumption.Msikieni cartoon [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Good kifupi hayatuhusu.safi tanzania [emoji1241][emoji1241][emoji1241]