Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Putin akasema wapi anachukua Kiev na Siku tatu? Tony wacha kueneza propaganda za dailymail huku jf
Either way we can clearly tell that Russia intended to take Kiev in a short period of time, not one month. Just a few days. The evidence is clear, you can look at Russia's messed up supply chain. No food, no ammo in some sectors e.t.c. Saa hii ndio wanaji-organise na kuleta more supplies. They did not expect this war to take this long that is why they are bogged down. Russian soldiers have been filmed stealing food from many supermarkets in Ukraine. Hizo video zipo ukipinga naweza kukuletea. Intelligence experts pia wameconfirm that Russia expected a quick victory but they got more than they bargained for. Anyway Ukraine should fight up to the last man, hakuna kuwachia bully kutawala kwa hii dunia. Likewise I was happy when Taliban kicked out America from Afghanistan last near.
 
Ata hii EAC Ni ujinga tu
We won't accept kutumia sarafu moja!!!
Unaenda kukunua mkate na 2000 east African shilling,
Never!!!
Worst thing about it ni ati watu ambao banking industry yao imekufa akina Uganda na Tanzania ndio wanang'ang'ana eti kuhost headquarters ya hii bank. Kama bank zao zimewashinda kurun watawezaje kuhost hii regional bank? Anyway, there will be no common currency, tuwache kudanganyana. Kenya hatuwezi kubali mambo ya common currency.
 
90% of extracted gold zinaibiwa [emoji41][emoji41]wakongo wanafaa kuacha kuimba nakuanza ulinda mali zao ...mana iyo serikali imeshindwa
 
Kama ulikua hujui kenya ndio walikua wanapush zaidi kwenye hii ishu ya kuwa na currency moja na ishu ya frrepaas kwenye borders za EA ila sisi tulikua tunakataa mkasema sisi tunachelewesha maendeleo ya EA ila saivi naona kibao kimebdlika
 
mama ngina ndio alisema [emoji1787][emoji1787] yani oxygen haiwezi saidia raia wake mpaka wanakufa na njaa serious ??
Oxygen ni Tz that offers stability in the entire EA region labda aseme KE ni Carbon Dioxide [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ulikua hujui kenya ndio walikua wanapush zaidi kwenye hii ishu ya kuwa na currency moja na ishu ya frrepaas kwenye borders za EA ila sisi tulikua tunakataa mkasema sisi tunachelewesha maendeleo ya EA ila saivi naona kibao kimebdlika
Ili kuwe na common currency lazima kuwe na monetary convergence among EA states failure to that tusahau EA common currency. Mfano mzuri tu KE keep on shifting the debt ceiling above the set limit na sisi hatutakubali tuwe na common currency na watu ambao wana disregard financial principles ambazo zinaweza kuleta madhara makubwa sana kiuchumi.
 
Nyie hamuaminiki na mambo ya hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…