Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani Nairobi
932b5df9002c468652341de9e5485dbd.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndinda ina Maana hata TPA is not a Tower???
Bullshit, achana na huyo nyang'au

Raising fast than ever in Dar
PPF HQ
Mzizizma Towers
Kawe City
Nyerere Twin Towers


Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani hapo Kama ilikua ni soccer match nimemchezesha na reserve yaani ile Third eleven( hata sio ya pili) yaani First eleven ni level nyingine kabisa.
 
wakenya wallah tunawaambieni,round hii mkimwagana damu hatutowafariji.

tulikuwa pamoja katika kuwaombea mfanye uchaguzi wa amani,ila kwa matukio haya inaonekana dhahiri kuna jambo mnalitafuta kuhusu amani yenu.
48e7e9299deba2f8eec067f12bee18c2.jpg
 
Back
Top Bottom