Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala hatupaswi kukushanga anyway unatoka kwenye nchi isiyo na abandonce of natural resource so huwezi elewa procedures, jifunze kutoka kwetu, inapasa serukali kuwa makini ili kufikia makubaliano yanano fever pande zote mbili na sio kukimbilia kuanza ujenzi tu ,angalia mafuta ya Uganda
 
Mbona mmnawaramba nyayo still njaa haishi kwenu
 
so? does that change the fact that CRDB Bank is making profit and growing in that market? Equity Bank and KCB Bank r in Tanzania with a GDP of around $75 bln and they have not even broke even 20 years down the line in the market!
When did Tanzanian GDP reach $75B?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbowe kaachiliwa. Siku zote mimi husema mama yupo vizuri. Hana roho za kichawi. Kuna watu ndani ya CCM walikuwa wanamsukuma mama awe katili kama kawaida ya CCM lakini mama ana utu.
 
Mbona haya mambo hua siasikii kwenye media zetu?
 
aliyemuweka ni nani ..?,
ungekuwa unafuatilia hii kesi kwa undani zaidi ungeelewa unachozungumza ,,

in reality ipo hivi "hii kesi kwa upande wa jamhuri ilikuwa inaenda kushindwa kulingana na ushahidi wakutengeneza kupitia mashahidi wao kwa kutoa maelezo yakujikanyaga kanyaga

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…