Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna haja gani ya sisi kujenga 23 floors to kunya land?...wakati hii ndio uchafu meweka TzView attachment 2139189
Hiyo ni kwa hiari yenu. Sio ushindani. Tulijenga ubalozi kulingana na mahitaji yetu, nyie mkiamua mjenge gorofa 23 ama mjenge hizo Bungalow zenu mbovu pia ni kwa hiari yenu. Ukiita huo uchafu sasa hizi dreamhouses tuziite nini?

 
Hiki nacho kujifanyaga kijuaji hiki, gud night guys.
 

Jamaa kala tunda na mbegu! Dah yaani anaingia na kugonga mtoto na pale alipotokea mtoto pia! 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Hiyo ni kwa hiari yenu. Sio ushindani. Tulijenga ubalozi kulingana na mahitaji yetu, nyie mkiamua mjenge gorofa 23 ama mjenge hizo Bungalow zenu mbovu pia ni kwa hiari yenu. Ukiita huo uchafu sasa hizi dreamhouses tuziite nini?

kwa kina Dazuu [emoji1787]
 
Ushawishi fika hilo jengo limekodishwa ilikua residential house ndio o#ffice now days . Acha ubishi ukiwa kwenu machakosi
Hilo jengo linakaa kama residential? Its utter size? Ila mimi ni nani nibishe..wewe ni mwenyeji
 
Nikisema wewe wanakukaza utanikatalia.? Kiswahili ulijifunza wapi,.?nakupa group assignment, kajadili na wakenya wenzako ujue maana ya nilichoandika then uje hapa ujibu..
 
Kichaa usiwe unatukana watu hovyo mbwa wewe, haujui chochote kuhusu US kunizidi, kuanzia history mpaka what's going on currently, roho inakuuma sisi kuwa na high speed rail way ambayo uko kwenu hakuna and you will never have it till them last days of the world.? Tako wewe.? Pitia hapa upate elimu ya high speed rail road vile inafaa kuwa 👇
🤣🤣🤣🤣 Dude, dont attach your concept of a "high speed". People be cruising at 420km/h now what do you call that, huh? No wonder yall be talking bout burret treni 🤣
Mizinga yenu ya chang'aa isikutie wivu wa kuchukia nchi zinazoendea maendeleo ya kweli na sio ubabaishaji
Yani wewe bahati yako nilikua busy sana kutwa nzima, ila ungenitambua leo Chizi wewe.. soma hapa upate elimu ya high speed Railway 👇alafu nakuuliza, reli yetu si high speed Railway.? 👇
 
What's wrong with you a55hol3! 😅😅🤣🤣 You mad now? Go cry to yo mama, b!tch a55!
What's a Nigga picture doing in your phone??! Be straight nigga, mbele iko sawa 🤣🤣🤣🤣
IamLee usitishiwe chochote, picha yako hii wee uko sawa, 'a young energetic man'.. ata wahappen kupost mara ×1000.. kwani.? wee uko fyne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…