The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,996
Kwahiyo hapo huoni Tz ndiyo inayowaka sana nchi nzima au unajifanya taahira.naona unaitaji daiper. yani tz conurbation ama agglomeration bado ni ndoto ya 2100AD. yani kuna venye kenya ni kama SA kidesignView attachment 2137572
UNEP Ilikuwa set up in 1972. Sidhani kama kulikuwa na slums by then.I bet UNEP was set up specifically in Kenya as part of addressing human pollution at the slums. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
so lake victoria pia imekua ni 'in and around nairobi' ... ok, mzuri kujua hivyo leo🤔Mbona unajiabisha mwenyewe unaona grid ilivyosambaa to cover the whole country unlike Kenya mainly concentrated in and around Nairobi only.
Tukisema Kenya ni only Nairobi wanabisha, ona hyo map inavyowadhalilisha, yn Tz nchi nzima inawaka, Kenya ni only Nairobi.Mbona unajiabisha mwenyewe unaona grid ilivyosambaa to cover the whole country unlike Kenya mainly concentrated in and around Nairobi only.
ya tafakari haya...Kwahiyo hapo huoni Tz ndiyo inayowaka sana nchi nzima au unajifanya taahira.
Safi sn sasa angalia na hii map[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ya tafakari haya... View attachment 2137633
tebu ona kwa karibu. mwehu hiiTukisema Kenya ni only Nairobi wanabisha, ona hyo map inavyowadhalilisha, yn Tz nchi nzima inawaka, Kenya ni only Nairobi.
Kwa karibu huoni vzr, ona hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tebu ona kwa karibu. mwehu hii View attachment 2137637
so u want us to escape from what God gave us.!!? ama. hebu ona pia egypt. ikashifu basi, na ndio ni nchi mara nane ya uchumi wenuSafi sn sasa angalia na hii map[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2137635
mbona kadaraja cha kawaida? medival era?
Ni kwamba hamuwezi kuifikia Tz kwa vyovyote, na ndiyo maana Tanesco imeizidi Kengen kwa mbali sn kimapato [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]so u want us to escape from what God gave us.!!? ama
When JNHPP ikikamilika next year TZ itakuwa bright kama europe.Tukisema Kenya ni only Nairobi wanabisha, ona hyo map inavyowadhalilisha, yn Tz nchi nzima inawaka, Kenya ni only Nairobi.
na ndio bado tunazalisha umeme maradufu kuwashida.. a difference of 2800Mw vs 1500Mw sio mchezo babaake.. ona, ata mmekaribiana na uganda inayozalisha 1000Mw. aafu.. hebu ongea nikuskilizeNi kwamba hamuwezi kuifikia Tz kwa vyovyote, na ndiyo maana Tanesco imeizidi Kengen kwa mbali sn kimapato [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2137640
The whole TZ country is covered by grid unlike Kenya macho hayadanganyi kijana.tebu ona kwa karibu. mwehu hii View attachment 2137637
Wewe unajua Kenya inaconsume umeme kiasi gani na Tanzania kiasi gani ama unaongea tu kufurahisha watu? Facts hazibadiliki kwamba Kenya inaconsume umeme kwa wingi kuwashinda hivyo lazima iwake zaidi kuwashinda kwenye hio map.Tukisema Kenya ni only Nairobi wanabisha, ona hyo map inavyowadhalilisha, yn Tz nchi nzima inawaka, Kenya ni only Nairobi.
Next year tunaingiza 3000Mw sokoni kijana kazi ipo hapo.na ndio bado tunazalisha umeme maradufu kuwashida.. a difference of 2800Mw vs 1500Mw sio mchezo babaake.. ona, ata mmekaribiana na uganda inayozalisha 1000Mw. aafu.. hebu ongea nikuskilize
another 1. maana ingine ya kua na gdp kubwa
Stop looking for flimsy excuses kijana wa ILO. Nairobi is, and will remain the regional kingpin in international mattersYes to address environmental degradation at the slums so Kenya was sampled as a perfect locaton for demonstration of UNEP efforts [emoji1787][emoji1787][emoji1787]