Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa kinacho endelea kwa sasa sahau sisi kushuka kwa top ten, mda mwingine beberu zinapenda kulambwa ndio zikupe namba watakazoo,tazama tu izo sijui misadaa wanajifanya kutupa sita shangaaa GDP yetu mwaka huu ikafika 75-80 billions...lakin kiualisia sisi tuko close na 100b, inachekesha sanaa kwa miradi tuliyonfanya ndani ya 5 yrs bado wakaiwek GDP around 65, tena kama unakumbuka kukatokea mkanganyika kati ya serikali na IMF thidi ya ukuaji wa uchumi wao wakidai tuko around 4% wakat serikal ikisem tuko 5.5% wakiw pamoja AFDB , aibu iliwashika wakabadil tena kuwa 5%
 
JKT wangepewa tenda hata za kufanya plan za nyumba zetu zilizojengwa kiholela ingekuewa poa sana. Wangefanya kwa awamu kubomoa na kujenga upya kama walivyofanya nyumba za magomeni kota ingekuwa safi sana.
Siyo jkt tu bali jeshi lote jwtz pia na magereza na wafugwa watumike hiyo ndiyo maana ya matumizi bora ya human resource
 
Kenya imenunua ndege gani mtumba, stop being delusional
sasa mbona unajilinganisha kwenye suala la locomotives au unafikiria tutaingia mkenge na kuenda spain kununua used locomotives? BTW KDF and Kenya police hununua ndege mitumba kila siku!
 
Yaani ni corruption Kwa kwenda mbele,alafu utasikia,elimu ya Kenya iko juu kuliko Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ