Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol......have you ever used The JKIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huku Tz hatutumii tofali tuna cast concrete moja kwa moja hatupangi tofali sisi kama huko.
Eti nyinyi watz, kwn hyo teknolojia imetoka tanzania[emoji1787][emoji1787]
Yani wall lazima ijengwe kando alafu tuta liwekwe katikati
 
Dah jamani mmeona tuta hilo limekaa kichokoraa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo hakuwekwi tofali mzee wangu never, by the way zege lilishamwaga, picha za progress ya huu mradi utaletewa ujionee.. keep on waiting
Hakuna zege la kumwaga kwa kiwango hicho, tuta na barrier kando lazima..
 
Walichoka na mambo ya Nairobi siku hizi ni Mombasa ndio inawapea pressure [emoji23][emoji23], just post one picture of Mombasa utaona venye wanakujibu almost everybody and some of them will even use renders to mark their points [emoji23]
Sometimes arguing here is a complete waste of time......That 50 billion gdp country and its people are always wired with lies and denial. Everyone is seeing how miserable their country looks like but they don't see it......Siku watafika Kenya watalog off wote hapa
 
Unabweka kama mbwa, unajamba au unaongea.?
 
Hapo hakuwekwi tofali mzee wangu never, by the way zege lilishamwaga, picha za progress ya huu mradi utaletewa ujionee.. keep on waiting
Bwahahahaa!!wall lazima..
Watz wameshtuka kuona kile kitu wanakejeli kumbe ni technology ya kawaida...

Ona vile vitu vinafanywa jomba
 
lol......have you ever used The JKIA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wenzako mastaa wakifika hapo na wakasifu na wakapenda na wakatamani JKIA ingekuwa that modern.. ni wewe tu chizi unaishia kuiona kwenye picha unakaza fuvu
 
I meant kwetu sisi hata kama tuta fill hizo layers za udongo katikati ya barabara, lakini pembeni hatuwezi weka tofali kama mlivyofanya nyinyi .. that's what we are saying
Kwenu wapi[emoji1787][emoji1787]
Uliona wapi wakiweka hvo, yani km vile imepangwa muingie mtegoni eti mpka mnasifia...
Si nyie mlisemi hamsifii tofali hivi imekuwaje tena[emoji1787][emoji1787]
 
T
Thanks for this picture, this is the other side of JNIA huwa hampeni kuonyesha🀣🀣🀣🀣


 
Bwahahahaa!!wall lazima..
Watz wameshtuka kuona kile kitu wanakejeli kumbe ni tecnology ya kawaida...

Ona vile vitu vinafanywa jombaView attachment 2117579View attachment 2117580View attachment 2117581View attachment 2117582
Hii kitu Unapost ni duniani uko (ulaya) ambapo Bongo pia tunafanya, this viaduct for BRT Dar es SalaamπŸ‘‡vs hii πŸ‘‡ ya ulaya πŸ‘‡it's the same technology right.? .. mean while kenya sasa πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hizi tofali Acha upumbavuhuu ni upopoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Acha kutaja technology za majuu na Tz eti ziwepo pia hapo failed state
 
Wamekupa mpka maelezo bado unashindwa kuelewa...soma kidogo uelewe tahira, ila msisahau ku post flyover ya matofali pindi itakapo kamilika...yani hapo lazima pale matofali tu hamna kuruka...
Mzuka umebadilika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
watajua wapi MSE Walls?
 
Issue ya msingi ni tofali mmewekewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Flyover ya mchongo .. ni mwendo wa michongo tu uko kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…