Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Huyo siku hizi huwa sijishughulishi kumjibu. Yani ni moja ya wale jamaa you can't have a discourse with. Kuna mtu mnatofautiana maoni lakini unaona ana akili - huyu ni kama kubishana na mbuzi. 🤣🤣
Yaani kwanza Post zake zinaboa sanaWe jamaa kumbe kuna mda unakua na akili[emoji3]
tulichoexport kenya nina uhakika ni sehem kubwa mfanyabiashara mtanzania moja kwa moja amefaidika.. lkn wakenya walivyoexport Tanzania nina uhakika ni viwanda vya ‘wazungu’.. sio mkenya moja kwa moja
I bet Arusha Airport ipo busy mara 10 ya KisumuUmeua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nimesema urongo.?
continue betting. Arusha enyewe inahudumia abiria 84,000 unataka kulinganisha na Kisumu that serves more than 500,000 passengers? I told you that combine mwanza and Arusha together still hazifikii kiwango Cha Kisumu 😂😂😂I bet Arusha Airport ipo busy mara 10 ya Kisumu
View attachment 2117433
View attachment 2117430
View attachment 2117431
View attachment 2117435
View attachment 2117437
View attachment 2117438
View attachment 2117439
View attachment 2117440
View attachment 2117441
View attachment 2117442
View attachment 2117443
Walichoka na mambo ya Nairobi siku hizi ni Mombasa ndio inawapea pressure 😂😂, just post one picture of Mombasa utaona venye wanakujibu almost everybody and some of them will even use renders to mark their points 😂Hapa umemkasirisha ichoboy01 atakuja zoom a post blurred photos[emoji1787][emoji1787]
Mombasa ina ghorofa nyingi kuliko mwanza, arusha, dodoma, mbeya combined
Mean while 2021 report says Kisumu handled 100k passengers annually .. still uko hapa kuitaja Mwanza..fala kweli wewecontinue betting. Arusha enyewe inahudumia abiria 84,000 unataka kulinganisha na Kisumu that serves more than 500,000 passengers? I told you that combine mwanza and Arusha together still hazifikii kiwango Cha Kisumu 😂😂😂
Umeshatawaza leo.?Mombasa ina ghorofa nyingi kuliko mwanza, arusha, dodoma, mbeya combined
Mzee..mi mpka nmeshangaa, yani kwetu waliponda sana.. tukiwaambia hawa jamaa ni wajuaji na hawajui engineering, siku zote wao hujitapa na kutia alikujua..Huyo siku hizi huwa sijishughulishi kumjibu. Yani ni moja ya wale jamaa you can't have a discourse with. Kuna mtu mnatofautiana maoni lakini unaona ana akili - huyu ni kama kubishana na mbuzi. [emoji1787][emoji1787]
Hilo no tofali mzee hata upande na kushuka[emoji1787][emoji1787]View attachment 2117281hivi [emoji3516]ndio vitu mnavyoambiwa, chuma ya Dom inakaa hivyo, muache ujuaji wa kifala [emoji116]View attachment 2117314.huko kwenu vitu kama hivi hakuna, ni tofali tu.sio hizi tofali [emoji116]
View attachment 2117316
Acha kujificha porini uko, toka mzee tembea ujifunze vya dunianiHilo no tofali mzee hata upande na kushuka[emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!noma sana, yani hyo style lazima kuwekwe tuta kwanza matofali yapangwe kw nje alafu ndani ndio zege..Hakuna flyover ya matofali hapo ni zege limemiminwa hapo nje hizo squares ni urembo tuu.