Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Ulipie 3000 bongo kwani utakua unaenda morogoro😅hii 150, ni 3000 Tsh kwa bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
BRT ya kuungaunga afu wanalipishwa parefu [emoji23][emoji23]
for their information, sisi tunaweza kulipa 650 Tsh (32 Ksh) kutoka Mbezi hadi Gerezan, over 22 km
Nani kasema sii watu? Mnakuwanga na uelewa finyu. Shida ipo pale 70% ya utajiri wa nchi ya watu milion 60 ipo mikononi mwa watu laki 1 ambao sio natives wa nchi. Inaonyesha kuna kasoro kwa nchi ambayo imepuuzwa. Mjiangalie.Waarabu sio watu mzee? Ubaguzi umewaathiri sana
Hiyo mbona ya test runs bei kamili bado haijatangazwa!hii 150, ni 3000 Tsh kwa bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
BRT ya kuungaunga afu wanalipishwa parefu [emoji23][emoji23]
for their information, sisi tunaweza kulipa 650 Tsh (32 Ksh) kutoka Mbezi hadi Gerezan, over 22 km
Very Sad
Kuwa Native lazima uwe black sio? Ungejua kuna waarabu ambao hawana trace zozote na nchi za Arabuni usingeongea, juu hapo umeambiwa Tabora na maeneo mengine mengi utakutana na waarabu ambao hata lugha ya kiarabu hawaijui... Huku kwetu wote ni Watanzania kazi ni huko kwenu.Nani kasema sii watu? Mnakuwanga na uelewa finyu. Shida ipo pale 70% ya utajiri wa nchi ya watu milion 60 ipo mikononi mwa watu laki 1 ambao sio natives wa nchi. Inaonyesha kuna kasoro kwa nchi ambayo imepuuzwa. Mjiangalie.
Nadhani unaelewa maana ya neno native. Siitaji kukueleza hilo na nadhani unaelewa nani natives wa Tanzania. Anyway, native or not, 100k people shouldn't be holding 60% of your economy.Kuwa Native lazima uwe black sio? Ungejua kuna waarabu ambao hawana trace zozote na nchi za Arabuni usingeongea, juu hapo umeambiwa Tabora na maeneo mengine mengi utakutana na waarabu ambao hata lugha ya kiarabu hawaijui... Huku kwetu wote ni Watanzania kazi ni huko kwenu.
Naona hata ni bora kuliko Dodoma
Kuwa Native lazima uwe black sio? Ungejua kuna waarabu ambao hawana trace zozote na nchi za Arabuni usingeongea, juu hapo umeambiwa Tabora na maeneo mengine mengi utakutana na waarabu ambao hata lugha ya kiarabu hawaijui... Huku kwetu wote ni Watanzania kazi ni huko kwenu.
Mzee mbona unaweweseka sana baada ya kuona namna Mzungu anavyomiliki zile hospitals zenu zote? Aga khan hospitals bado hatujaijumuishaNadhani unaelewa maana ya neno native. Siitaji kukueleza hilo na nadhani unaelewa nani natives wa Tanzania. Anyway, native or not, 100k people shouldn't be holding 60% of your economy.
Nadhani unaelewa maana ya neno native. Siitaji kukueleza hilo na nadhani unaelewa nani natives wa Tanzania. Anyway, native or not, 100k people shouldn't be holding 60% of your economy.
Ubaguzi wenu una mipaka matawi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umebadilisha ss kutoka chama unalazimisha iwe region [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa amekukosesha amaniSiku zote ndege wafananao ndo huruka Pamoja.
Kwenye kukurupuka una tofauti gani na huyo unayemkubali?
Bado SGRUpdate: Karema port
MY TAKE
Bring DRC Congo on!
hapa ni wapi???? hebu tueleze vzr 😃😃😃Mombasa Raha.....Sun n sandView attachment 2115202View attachment 2115203
For instance this is Dodoma 👇 tNaona hata ni bora kuliko Dodoma