Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umetisha .......sisi WATANZANIA hatunaga roho mbaya wao ndiyo wanafitina nasisi nakizuri kwa upande wetu watanzania hatunaga hata time endapo ukitusena......huwa tunafanyaga yetu.....

@NAITAKIA BARAKA NJEMA KENYA
 
uchaguzi wa kenya na vituko vyake
githeri man meme.
huyo LEWIS 254 kajitahid sana na hiyo suti yake kila kona yupo mpaka na obama duuh..[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

LEWIS UMETISHA[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
tuachane na uchaguzi wa kenya,mshindi ashajulikana na maisha yanazidi kusonga mbele,hayasimami.mengine yatakuwa ni makelelw na rabsha za hapa na pale toka katika upande ulioshindwa.

turudi kwenye battle yetu.
beach life at kigamboni,dar city.
 
siunajua pia kuna yule kijana MTZ mwenzetu aliyerudi bongo kwa uzalendo baada ya kukataa mshahara nafikiri kuna vingi sana vimezungumzwa....vyenye faida kwa taifa
Anataka kufanya investments tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…