Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Addis Ababa Imetulia
 
hii 150, ni 3000 Tsh kwa bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
BRT ya kuungaunga afu wanalipishwa parefu [emoji23][emoji23]
for their information, sisi tunaweza kulipa 650 Tsh (32 Ksh) kutoka Mbezi hadi Gerezan, over 22 km
Tuliwaambia kuwa BRT YAO NI SHOW OFF TU SIYO KWA AJILI YA MASIKINI NA WATU WA KAWAIDA WAKABISHA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
komora096 Tony254 MK254
 
Ungekuwa umesoma nini chanzo cha haya majibizano ungetulia pembeni.

Namuunga mkono joto la jiwe 100%
Huwezi tukana Watanzania wenzetu halafu tukuache hivihivi huwa tunapiga kwenye mshono.

Msipende kurukia majibizano bila kuagalia yameanzia wapi.
Tatizo la watanzania siku zote ni ushabiki usio na tija wala mantiki yoyote. “Huwezi tukana watanzania wenzetu halafu tukuache hivi hivi, “
Mimi pia ni mtanzania. Aliponiita malaya wa posta, hayupo mtanzania aliyemkosoa Kwa kunikejeli. Nimemuita mpumbavu kwasababu replies zake zinaonyesha wazi kuwa yeye ni mpumbavu. Yeye aliniona nikifanya umalaya posta lini? Kama sio petty insults za kufanya ahisi kuwa ananiumiza roho?

sidhani kama utanzania au niseme falsafa ya taifa inaungana mkono na ubaguzi wa aina yoyote, ikiwemo ubaguzi wa rangi. Look at the bigger picture! Hii issue sio kuhusu ushabiki, bali kuhusu ubinadamu na basic human decency. Message zake kuhusu watu wenye ngozi nyeusi ni upuuzi mtupu. Haijalishi kuwa analenga watu weusi wanaoishi Kenya. Mwanadamu yoyote hastahili kuchukiwa au kuaibishwa Kwasababu ya rangi ya ngozi aliyozaliwa nayo!

Lastly, I have news for you and the rest of your clown company. Nothing you can say could ever hurt my feelings! Niko tayari ku-engage in a meaningful conversation with any person, even those that seem to have traded their brains for shit!
 

Tel: +1-212-216-1832.
Fax: +1-212-736-1300.
Email: hrwpress@hrw.org.
Skype: hrwpress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…