Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mh ! Wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
niambie best........maana Wakina Mzee wa iphone,wanjala,Mk254,Lewis254 wote wamerudi vijijini kwao......hakuna acess inayopatikana umeme.......wakija hapa kupiga lelele ujue wamerudi kibera area kwenye makazi yao ya kudumu ndiyo maana wapo kimya
 
Wale Wazee wa highway na intrechange
.....mpoooo?...
naomba mnikumbushe kidogi hapa ni wapi vile maana nimepasahau jina lake?
 
licha ya kuwepo kwa hali ya kutupiana vijembe kwenye mitandao kati ya sisi watanzania na wakenya,watanzania tumedhihirisha ni kiasi gani tunawapenda jirani zetu.

tumedhirisha hili katika kushiriki kikamilifu kuwatakia wakenya salamu za uchaguzi mwema kupitia twitter,instagram,facebook na ma-group ya whatsapp yanayo waunganisha wakenya na watanzania pamoja.


hizi ni baadhi ya screenshot za watanzania nilizozi-capture facebook.
 
Serious inaskitisha sana ndugu....
Amani itapatikana kenyatta akiachia madaraka hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…