Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Nchi za west Africa hazitii guu kwenye sekta ya utalii kwa nchi za afrika mashariki kwaiyo kwenye swala la hoteli za viwango tumewaacha mbali sana si tatizo letu moja ni viwanja tuu vya michezo vyenye hadhi ya kimataifa Ndio hatunagood, kwakuwa hotels mostly ni suala la sector binafsi.. nadhan serikali ikisema inajenga viwanja vikubwa, sector binafsi itachangamka hata kujenga hotels nzuri na kubwa zaid.. so ishu sio hotels. viwanja vikijengwa hotels zitakuja tu
in other words, suala la hotels tuliondoe au tuweke kote [emoji736].. suala ni upande wa serikal kujenga [emoji909] au [emoji3575] au [emoji541] kwenye host cities pale ambapo hamna
Watu hawawezi jenga hotels kwaajili ya event ya three weeks. Hakuna anayefanya hivyo.good, kwakuwa hotels mostly ni suala la sector binafsi.. nadhan serikali ikisema inajenga viwanja vikubwa, sector binafsi itachangamka hata kujenga hotels nzuri na kubwa zaid.. so ishu sio hotels. viwanja vikijengwa hotels zitakuja tu
in other words, suala la hotels tuliondoe au tuweke kote [emoji736].. suala ni upande wa serikal kujenga [emoji909] au [emoji3575] au [emoji541] kwenye host cities pale ambapo hamna
wacha ujinga wewe Mbeya kuna 5 star hotel (sidhani kama hata 4 star ipo Mbeya)! kama ipo, ipi hiyo? Na Morogoro (japokuwa kuna hotels za 4 star)? Ila ya 5 star ipi hiyo?Kama vipo inakuaje hata ku file bid haijawahi tokea? Afu toa Kilimanjaro hakuna 5 Star hotel weka Mbeya au Morogoro
If your leaders have allowed foreigners to work without work permit that is your problem, we have decided otherwise and it is our choice. However, those with whom your mp was bluffing on the streets have work permit although some may not. Even though in Tanzania there are so many Kenyans staying without work permit, the number is higher than our fellow citizens staying in your poor statelakini naskia tz huaga hamtaki mtu wowote toka nje, na hasa kama hana kibali kamili ama documentation toka kwa serikali. i hear local citizens collude with the police to harass and to bring forward foreign african nationals and especially kenyans to be precise, who are in tz illegally. all this brewed out of their immense jealously that we are better than them in almost all fronts as a country ever since time in memorial
nb:-
am telling you the thousands of tanzanians in gikombaa market, non of them have any work permit or documentation to be in the country. the gov't is aware, but still however find that the same gov't protects them whenever theirs any protests btwn them and the local traders. take the case of mp. jaguar remarks for instance. he almost got jailed for trying to protect local businesses by inciting local traders and daring to evacuate illegal tz immigrates. to me, jaguar is true hero, a real brain child of this great nation.! https://www.facebook.com/
Kwa raha zake, Kenya sio kama Tanzania, Kenya you are allowed to own whatever you want bora inakubalika kwa sheria. KG plates hupewa vehicle dealers wakisubiri private plates.dude limekaa kama kifaru utaliendeshaje mtaani? Amphibious vehicle! Wacha desperation! hilo sehemu yake ni barracks!
Wewe hujawahitoka kenya inaonekana. Any black person born in Kenya is naturally a slave the same goes to South African, who needs to inherit such statusnajua tu watz humu wangeulizwa wange wish kuzaliwa nchi gani kati ya ke na tz, wengi wenu mnge chagua kenya, ila mnaogopa, ama mtaona aibu kuyasema hayo hapa.. hehe.. ukweli wa mambo
"kenya the most sophisticated country in this eastern africa block, with a consistent track record of being the largest economy in this region ever since the colonial times"
We kubwa jinga acha kukariri Maisha.Sio kila kitu Kiko kwenye mtandao..wacha ujinga wewe Mbeya kuna 5 star hotel (sidhani kama hata 4 star ipo Mbeya)! kama ipo, ipi hiyo? Na Morogoro (japokuwa kuna hotels za 4 star)? Ila ya 5 star ipi hiyo?
12 hotels in Mbeya, Tanzania.
Great savings on hotels in Mbeya, Tanzania online. Good availability and great rates. Read hotel reviews and choose the best hotel deal for your stay.www.booking.com
sports tourism!tukijenga hizo world class infrastructure, itatusogeza hatua flan mbele kwenye kuhost competitions nyingine kama WC, in next ten years yule mwenye viwanja vinne atatumia gharama ndogo kujiandaa kuliko yule mwenye kiwanja kimoja..
pia international competitions, unaweza kuhost timu za nchi za nje kama viwanja vyao vimepigwa ban; huu ni utalii tayar
Ila mimi namkubali yule Mkenya wa BBC,Ester Kahumbi sema she is married 😁😁na mademu wazuri pia tulinganishe
Kwahiyo ni 5 star hotel dogo jinga? nitajie 5 star hotel yeyote unayoijua dogo jinga isiyopo mtandaoni? Na ilipata vp ratings? Mwamasifa aliipa rating sio? Hii hotel yako hata 4 star haijafika as a matter of fact picha ulizoweka zinaonyesha kama haijafunguliwa!We kubwa jinga acha kukariri Maisha.Sio kila kitu Kiko kwenye mtandao..
Hii hapa Modern Mbeya Highlands Hotel ukiiona humo kwenye link yako ni tag 👇
View attachment 2111361
View attachment 2111362
View attachment 2111365
View attachment 2111366
Kwa hiyo anaetoa ratings za hotel ni wewe? Hiyo ni hotel mpya na ndio 5 star pekee huko Mbeya.Kwahiyo ni 5 star hotel dogo jinga? nitajie 5 star hotel yeyote unayoijua dogo jinga isiyopo mtandaoni? Na ilipata vp ratings? Mwamasifa aliipa rating sio? Hii hotel yako hata 4 star haijafika as a matter of fact picha ulizoweka zinaonyesha kama haijafunguliwa!
booking kupitia email ya yahoo.co.uk! Hii 5 star hotel yenyu huko Mbeya kwa standard zenu huko Mbeya na si Tanzania 🤣🤣🤣Kwa hiyo anaetoa ratings za hotel ni wewe? Hiyo ni hotel mpya na ndio 5 star pekee huko Mbeya.
Dingi unazeeka mwili hadi akili sasa.