Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maana kuna source za nasa wamesema matokeo wanayo na kua nasa kwa namna yoyote lazma ishinde kwasababu majimbo makubwa yote ya nasa hayajaguswa bado na ukizingatia nimeona kama gap ya 10% tu
 
Maana kuna source za nasa wamesema matokeo wanayo na kua nasa kwa namna yoyote lazma ishinde kwasababu majimbo makubwa yote ya nasa hayajaguswa bado na ukizingatia nimeona kama gap ya 10% tu
Tafuta facts msee...Raila po Box Bondo siaya county

sent from iPhone 7
 
This is pathetic you should tune in to citizen of k24...presenters wanakaa wakulima.
How can you use a Biro while kuna iPad or tablets......then earphones ya tecno??????????
Kutoka Leo naidharau azam

sent from iPhone 7
😀😀😀😀😀 azam ndio kiboko ya east and central africa hakuna mjadala
 
This is pathetic you should tune in to citizen of k24...presenters wanakaa wakulima.
How can you use a Biro while kuna iPad or tablets......then earphones ya tecno??????????
Kutoka Leo naidharau azam

sent from iPhone 7
hao ni wakenya wenzenu .....tumewapa ajira....

na kingine mzee wa iphone7 hivyo ni vitu vya kawaida sana watu wanakaa na nokia torch kikubwa hapo ni kufikisha taarifa tu vingine mbwembwe tu.....ila hao ni wakenya wenzenu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…