Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Arusha-Holili Highway (4 lanes) with another 500 m bridge, Zanzibar water supply, and Kigoma port rehabilitation


MY TAKE
Huu mradi mwendazake aliuchelewesha kwa makusudi!

I don’t know you but I can predict ,
Wewe ni mtu wa pwani, with mtu wetu syndrome,
A typical lunatic mwenye Husda, majungu, unafiki na uvivu,
You have thousands posts humu ukisifia mwendazake during his presidency, and now you are here trying hard to shift your silly feelings away from mwendazake to mtu wenu,
By the way sisi vijana wa leo we don’t entertain such madness,
We supported JPM during his regime,
We also support mama to do her best for our Country besides her incompetences,
Grow up old man.
 
Mbona unakua mtumwa kwa hiyo mtu haongee kingereza kwa sababu mgeni hajui hicho kingereza. Bahati nzuri hata huko kwenye wanaojua kingereza ni wachache vilevile . We can't be slave in our own country . So long as yeye hajui kingereza shauri yake . Uzuri wa Tanzania ukija kwa mbwembwe watu wanakuangalia tu . Black american waliokuja kipindi cha Corona wanapenda sana kulalamika pia wanataka Africa kuwe kama America kitu ambacho hakiwezi tokea kwa siku moja. All in all, ukiwa arogant bongo utaona sio mahali pakukaa kwa sàbabu hakuna hatakae kujali . Ukija bongo punguza ujuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…