Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yani, tangia expressway ianze ku catch shape, hatuskii tena kelele za ubungo interchange hapa. atleast sasa tunaweza pumua. walikimya wote, hasa Ichoboy . mzee wa 3levels
Ubungo interchange ishafunikwa, uko wapi wewe? Sisi hatukai tukiongelea mradi mmoja daily, ona hii alafu tutaipotezea mda c mrefu litakuja funga mwaka soon, wkt nyie mnahangaika na expressway mwaka mzima sisi tuko na hii Hatuwasubiri[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiki kibarabara hakiwezi jengewa expressway juu yake kama hii ya Kenya. Washaharibu kuweka brt katikati plus this ugly interchange. Magufuli [emoji706]
 
Acha utani mzee, yani hapo pia unabisha.kwanza mtajengewaje daraja km highway ya kawaida tu jamani

😂😂😂 Kiroho kinakuuma unatamani kufa hapo, ngoja nikushindilie misumari ya shingo ufe vizuri 👇. EA's longest bridge with the tallest monument
 
Hiki kibarabara hakiwezi jengewa expressway juu yake kama hii ya Kenya. Washaharibu kuweka brt katikati plus this ugly interchange. Magufuli [emoji706]View attachment 2109371
wewe peleka upumbavu nani kakuambia sisi tunataka kujenga express highway kwenye viaduct? Wewe ni mpumbavu! Hiyo pedestrian overpass unaona ina viwango? hapo chini ya viaduct watu watapitaje? Kwa kuinama? FYI Sisi tukijenga viaduct ya express, itakuwa ya metro na ndo plan iliyopo!
 
Hiki kibarabara hakiwezi jengewa expressway juu yake kama hii ya Kenya. Washaharibu kuweka brt katikati plus this ugly interchange. Magufuli [emoji706]View attachment 2109371
So unafananisha BRT na expressway? We kweli mwehu, yn ufananishe efficient road na huo upuuzi utakaopitisha watu wachache wenye pesa, fala kweli wewe.
 

abit of engineering class here:- 👇🏽

a headroom of 2100mm (7'-0") is enough for any height of human beings. please measure your door and you'll get 2.1m (7'-0")..
nb: infact all beds are only 1800mm (6'-0")! in length, and you'll find it fitting everybody.
that footbridge is atleast 2700mm(9'-0") to 3000mm(10'-0") in height clearence.
nb: these heights are actualy adopted when constructing a house. ie. these are recommended heights between the floor level to the ceiling level..
 
this bichi kidimbwi now looks like some cheap experiment....a cross sign leading to some unknown dirt road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…