ndio maana nakuambia tumezoeana sana hadi mnadhani dar na Nbo ni rika moja. usione bullet train inakaa kichwa cha nyoka ikakuzinguaJiulize mna nn cha kuwafanya watu waelewe unayoyasema...lol kwa picha mkizotuma tangu January hadi Leo nairobi ni dar tu mnatuzidi barabara na vidaraja viwili vitatu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] wakenya ni wapuuzi sana ngoja baba yao akamilike.......yaani ile ya ubungo kenya hawatoweza jenga milele ....Nilisha wambia interchange msiziite flyover
Nilisha wambia interchange msiziite flyover
CHOKORAA wa nairobi unavituko....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wadanganyika hunishangaza. umeona brt leo na tutower tuwili tumesmama apo... tayari unakurupuka na kuja mtandaoni eti dar is ahead of Nbo.
there is more to a city than that bullet train in Casablanca
unaongea vitu vya planning leo......wewe chokoraa niaje.....huku kila kitu kishakaa sawa......vinavyofanyika sasa ni vitendo tuDaresalaam waanze kwanza na planning.
dar 92% ni mazingaombweNairobi 10 per cent ndio ovyo....
Na flyover sio interchange wewe mbongo
Kijiji kikuu cha kenyaNairobi 10 per cent ndio ovyo....
Na flyover sio interchange wewe mbongo
Acha uongo , Nairobi hakuna maali itatoka kwa DSMdar 92% ni mazingaombwe
Inferiority complexthe second CITY of Africa Nairobi City aisee ni kuzuri
mna usafiri bomba sana Mzee wa iphone7 jiji lenu la naifobi ni zuri sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji122] [emoji122]Inferiority complex
sent from iPhone 7
hebu zileteni hizo flyover zenu......hapa maana inaelekea unakichwa funza[emoji15] [emoji15]Nairobi 10 per cent ndio ovyo....
Na flyover sio interchange wewe mbongo