umeruka mada sasa ππππ asante kwa hasira piaHizi akili zako bro, nikama zimepotea njia naona π π π π ., huwa unaziacha wapi sazingine? π π π π π π huyu Prime Minister wa kuenda kazi kwa baiskeli utasemaje sasa? π π ..,Nilikua tu nakuamkua, good morning?..,
View attachment 2102195
bado expressway ya mchina sasa pale kwenye tollπ€£π€£π€£π€£π€£ nakwambia tusubirini twitter mutaona mengi
Yaani hiyo point yako ipo vice versa na tena imekosa the bigger picture. Magu na Nyerere walikua Viongozi wanojali wanyoge na kwa kufanya hivyo walipingana na mafisadi. Kwakuwa mafisadi wana uwezo ndio wanasambaza propaganda za udictatorNyie sema huwa mnapenda kuongozwa kidikteta. Mkiongozwa kiupolepole mnamchukia huyo kiongozi. Mnapenda watu kama Nyerere au Magufuli kwa sababu hawakuwa wanapenda upinzani na walikuwa wakali mno. Mnawachukia JK na mama huyu kwa sababu ni wapole na wastaarabu ambao hawapendi fujo na sinema. Nyie huwa mnapenda mtu anayewapiga ngumi na mateke ili mhisi kwamba mna kiongozi shujaa. Magufuli alikuwa amewasoma saikolojia yenu vizuri sana. Alijua asipowapiga mangumi na mateke, mtaanza kulalamika kwamba rais hajui kufanya kazi yake.
Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tenaKili not only bring money to Tanzania but also connects Tanzanians with the outside world in so many engagements
View attachment 2102096View attachment 2102097View attachment 2102098
Umeskia tar. 02.02.2022 FID EACOP inatangazwa pale Kampala!bado expressway ya mchina sasa pale kwenye tollπ€£π€£π€£π€£π€£ nakwambia tusubirini twitter mutaona mengi
na itokee hawa nguruwe wapigane kama kawaida yao! π€·ββοΈmutashuhudia mengi sana huu mwaka π
Katika maeneo yote ya kitalii Tanzania hakuna eneo pesa nyingi zinaenda kwa mtanzania moja kwa moja kama utalii wa Kilimanjaro,Juu ja huo mlima wajenge japo hotel 4 zenye restaurant ili watalii na watz wapate pakufikia na kupumzika japo siku mbili ,ubunifu ni muhimu sana ili watalii wakija tz wakute mambo ni mengi ya kutalii siyo mtalii anakuja na kuondoka kamaliza kila kitu ndani ya week 1 tu,ili watalii wakija mara moja watamani kurudi tena na tena
sasa umekuja kuleta hasira zako π€£π€£π€£π€£
ππππππππππ
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
Mnajiita wild animals ππππππππππππsasa umekuja kuleta hasira zako π€£π€£π€£π€£
Kulialia hakutokusaidia budaMnajiita wild animals ππππππππππππ
usikasirike sasa ππππ
ππππππππππ
At least one of you has a brain. To foreigners who want to see animals it's heaven but to the local burukenges it's a hellhole
We ni wa kupuuzwa, manake huna jipya kila siku ndio unazidi kudidimiza akili zako makalioniwhere is assembly plant ya scania in kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kumbe na toyota wana assembly plant kenya [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
na iveco pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na landcruiser pia ohhhh my GOD[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
na marcedez benz pia mama yangu[emoji3][emoji3][emoji3]
na faw pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwenye maneno 1000 ya mkenya chukueni moja muondoke musisahau hilo [emoji23][emoji23][emoji23]