Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KW
KWANGU MIMI SIO LAZIMA AWE AMETEMBEA NCHI NYINGI...BORA ANAIJUA TANZANIA VYEMA NA AMEJIONEA TOFAUTI YAKE NA KENYA NA AKAIONA KENYA KUWA BORA ZAIDI KULIKO TZ...NA KWA KUELEWA KWAKE AKAIPA DAR MIAKA ISHIRI NA TANO....NGAPI ?? 25 ILI DAR IIFIKIE KENYA KWA MAENDELEO. SIHITAJI ZAIDI HAPO.
 
Kuna nn kipo Nairobi alafu Dar hakipo? Ila kuna vingi vipo Dar na huwezi kuvipata Nairobi, unabisha?
 
Duh Sio mchezo

Mh Bashe piga kazi kichwa chako kimetulia angalau wakulima wataweza kuona faida ya jasho lao baada ya muda sana kuwa chini.
Nawashangaa sana Wakunya wanashindwa kuhudumia KFC spots zisizozidi 10 Kenya yote, vipi kama wangekua na utitiri wa vibanda vya chips kama vilivyo Tanzania? Sababu Tanzania chips is almost our staple food,

Vibanda vya chips vimeajiri millions of Tanzanians.
 

Attachments

  • 61eac62345eaf86c8ff0c4f439d0571f.mp4
    9 MB
Kwa makelele ya masifa mnayopigaga wazee wa Githeri na chang'aa,mungefika hizi levels za Hawa Zimbabweans tusingepumua humu jukwaani.

Hongera kwao 👇





 
JUILIZE MBONA BASI NAIROBI IWE RANKED JUU YA DAR...?
wakenya ni waongo sana na uswahili mingi, GDP kubwa; watu wanakufa njaa, katiba nzuri; polisi/serikali wanaua watu kila kukicha, wana jeshi la kisasa lenye zana bora; kenya ndiyo kitovu cha ugaidi afrika ya mashariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…