if tz tv stations are not accessible in your decoder,go to app store and download azam tv app.my Gotv decoder has 159 channels but i dont have any Tanzanian Channel.I used to access EATV but it vanished
Shoga najua makalio sai yanawasha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] chokoraa una shida sana
kijana...habari ya hapo kenya.harakati za uchaguzi zinaendaje?.Shoga najua makalio sai yanawasha
sent from iPhone 7
5 mW largest??? LolOut of topic ..just updates
A 5MW solar plant in Kigoma region Tz..one of the largest in Tz nearly to be completed
Ziko poa tayari Niko ushago kuvotekijana...habari ya hapo kenya.harakati za uchaguzi zinaendaje?.
5 mW largest??? Lol
sent from iPhone 7
ni kawaida yenu wakenya,kila inapofika wakati wa uchaguzi mnaikimbia Nairobi.kila mtu anarudi ushagoo kwake.[emoji23]Ziko poa tayari Niko ushago kuvote
sent from iPhone 7
Ushago ndio nn?ni kawaida yenu wakenya,kila inapofika wakati wa uchaguzi mnaikimbia Nairobi.kila mtu anarudi ushagoo kwake.[emoji23]
vijijini/mashambani/mashinani.
5 mW largest??? Lol
sent from iPhone 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23] MZEE WA IPHONE7 a.k.a chokoraa vipi tena mimi ni mkenya mwenzako ujueShoga najua makalio sai yanawasha
sent from iPhone 7
vijijini/mashambani/mashinani.
kutokana na makovu ya uchaguzi wa 2007-8,wakenya wengi inapofika nyakati za uchaguzi,kila mtu hurudi ushago kwake kuwa karibu na watu wake wa kikabila au ukoo ili kama ghasia ikitokea iwe rahisi kujilinda kuliko ukiwa mbali na eneo la kwenu.that's the logic behind.
siasa za kenya ni trick sana[emoji23]
Tafuta pesa msee kwa namna ingine ..ushoga ni trickyde[emoji23] [emoji23] [emoji23] MZEE WA IPHONE7 a.k.a chokoraa vipi tena mimi ni mkenya mwenzako ujue
sote ni ndugu.......usinitusi sisi sote iko same country same place at nsirobae city au vipi mazee
watu huishi slums ndio huhepa......half of my Family is voting in Nairobi. Nairobi bado kuna 2.4 million voters and Nairobi kura huwa 50-50