Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rais Kikwete hakuanzisha BRT, kuanzia feasibilty study ya jinsi ya kutatua msongamano wa magari Dar, mpaka mchakato wa kutafuta mkopo ulianzishwa na awamu ya 3.
Kumbe wewe sio mkazi wa Dar es Salaam.BRT hii inayotumika ilizinduliwa rasmi 2016 lakini majaribio yalianza 2015,kikwete alikua na uwezo wa kuzindua mwenyewe 2015 lakini aliona amwachie JPM.Kama bado unabisha ni akili yako tu
 
Watanzania si mnajua tena wakati wa dharura huwa kiburi kinawekwa kanda aisee
 
61,498,437
TOFAUTI IKO WAPI??

The current population of Tanzania is 62,420,967 based on projections of the latest United Nations data. The UN estimates the July 1, 2021 population at 61,498,437.
tofauti ipo 48 to 55 mln people! 7 mln people plus!
 
Aliletwa kwa ungo sio? Hivi unajua Magu alikua anatake precautions tangu aiwa waziri ambapo alikua na mtu waketest hadi maji ya kunywa? Alizungukwa na watu wanaouelewa ndio maana alifumuafumua serikali na kuweka wasomi wanomuelewa ambapo wasingeweza kufanya hivyo. Waache kumpeleka South eti wampeleka slum hub? We unaumwa wewe
 
Gdp ya madeni?

$97B - $106B = -ve $9B

$65B - $36B = +ve $29B

Ninyi hata Burundi wamewapita hamna GDP yoyote
Nani mwenye real GDP kubwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana hawawezi kujenga hata km 5 za reli kwa pesa za ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe wewe sio mkazi wa Dar es Salaam.BRT hii inayotumika ilizinduliwa rasmi 2016 lakini majaribio yalianza 2015,kikwete alikua na uwezo wa kuzindua mwenyewe 2015 lakini aliona amwachie JPM.Kama bado unabisha ni akili yako tu
Mradi wa BRT uliasisiwa na Mkapa, Kikwete alitekeleza tuu. Miradi ya kikwete ni pamoja na UDom ,Tassisi ya moyo, Terminal III, shule za kata, barabara za kusini n.k
 
Kumbe wewe sio mkazi wa Dar es Salaam.BRT hii inayotumika ilizinduliwa rasmi 2016 lakini majaribio yalianza 2015,kikwete alikua na uwezo wa kuzindua mwenyewe 2015 lakini aliona amwachie JPM.Kama bado unabisha ni akili yako tu
Uwe unasoma na kuelewa anasemaje mwenzako ,pia kuhusu brt ya kikwete ujue siyo hii ya magufuli ni kama sgr ya kikwete ni tofauti na hii ya magufuli ,ile ya kikwete ilikuwa imechukuliwa na kikundi cha wahuni papa ndani ya ccm ilikuwa ni mali ya kikundi cha mafisadi wa msoga wakina Rizimoko ,kama unataka kujua vizuri kazi kubwa aliyo fanya jpm kwenye brt basi anza kufuatilia Issue ya UDA kwanza ndiyo utagundua kuwa brt magufuli ni tofauti na brt kikwete
 
Mradi wa BRT uliasisiwa na Mkapa, Kikwete alitekeleza tuu. Miradi ya kikwete ni pamoja na UDom ,Tassisi ya moyo, Terminal III, shule za kata, barabara za kusini n.k
Tena siyo alitekeleza bali aliuiba huo mradi na kuhufanya mali binafsi ya kikundi chake cha mafisadi ,fuatilia kuhusu UDA
Mzee wa msoga ni zaidi ya kukutana na mashetani 1000 wewe siunamuona anacheka cheka tu,
 
yani ukiaangalia ukweli utaona impact kwao ni kubwa sana japo wanajipa matumaini 😃😃😃😃😃
 
Dah, umetonesha kidonda, nimekumbuka jinsi UDA ilivyouzwa kinyemela na ku-sabotage shirika la reli ili biashara ya malori ishamiri. Ona sasa msoga kupitia GSM walivyonunua malori, hii sgr sijui itakuwaje.
 
Unabishana na mtu anayeona kwa macho kila anapoamka asubuhi.BRT phase one ni standard ya hali juu sana ilijengwa na Strabarg.BRT phase kuanzia kamata kwenda Mbagala inajengwa na Mchina kuanzia 2018 na bado hatujui hadi mwisho itakua na ubora gani? Shida yenu mnafikiri kila mtu anaona na kufikiri kama ninyi.BRT itabaki kuwa ni initiative binafsi ya Rais kikwete kama ilivyo kwa chuo kikuuu cha Dodoma,JKCI(taasisi ya Moyo) japo utekelezaji utaendelea miaka na miaka.Tusiishi kwa kutaka kila mtu afikiri kama wewe.
 
MKENYA AKUTWA KWENYE TAIRI LA NDEGE UHOLANZI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maafisa wa polisi wa Uholanzi wamethibitisha kwamba mtu aliyekutwa katika tairi la ndege katika uwanja wa ndege wa Schipholni raia wa Kenya mwenye umri wa miaka 22.

Anapanga kuwasilisha ombi la kuchukua hifadhi nchini Uholanzi.

Mtu huyo alipatikana akiwa hai na kuwa na uwezo wa kuzungumza.Kwasasa anapokea matibabu katika hospitali moja.

Alikutwa katika tairi la ndege ya Cargolux baada ya ndege hiyo kusafiri kutoka Johhanesburg hadi nchini Uholanzi kupitia Nairobi Kenya.

Msemaji wa jeshi la polisi nchini Uholanzi aliambia BBC , inatarajiwa kwamba ataomba hifadhinchini Uholanzi , lakini kwasasa hali yake ya kiafya ndio muhimu.

Sio kawaida kwa stowaway katika safari za mwendo ,mrefu kukutwa wakiwa hai, kutokana na baridi kali na upungufu wa hewa ya oksijeni angani.

Maafisa wa polisi wa Uholanzi wanachunguza iwapo alijificha katika tairi hilo akiwa nchini Afrika kusini au Kenya.

Katika kipindi cha miaka mitano , watu saba waligunduliwa katika ndege hizo za Uholanzi na ni wawili pekee waliokutwa wakiwa hai.

Jamaa wana maisha magumu sana

 
yani ukiaangalia ukweli utaona impact kwao ni kubwa sana japo wanajipa matumaini 😃😃😃😃😃
EACOP itasawazisha haya yote halafu mjinga atajulikana! So far Nina uhakika Uganda inakuja kutawala soko la mafuta East and central Africa! labda kama kutakuwa na ugunduzi wa mafuta zaidi ya Uganda!
 

Katika wakenya 100, 99 wanatamani wangepata fursa ya kuhamia nchi nyingine kutokana na hali ngumu wanayopitia nchini kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…