Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Them low rise buildings in Kenya ar mostly of low quality, gorofa mbovu hazina sura, alafu madirisha kwao ni anasa
Kwenye nyumba ya udongo tena ya gorofa can you really afford to put large windows? If you do it will collapse.
 
wakati wa ujenzi sio? Ngoja phase II ikaikamilika uongee! See how lovely is the only electrical SGR viaduct in east and central Africa in the background!

Unaenda kupata structure kama hii!
kuangalia picha yenyewe unachosha tu mtu
 
Mimi nawakana au wewe ndio unawataja, unawatia watu umuhimu kwenye hamna, show me the evidence please..[emoji23][emoji23]
Wafadhili leo wanarukwa peupe[emoji1787][emoji1787]
Maskini wa japan, leo wachawi wanawakana
 
Maneno ya mfiwa hayo,hamshindani na Tz sio kweli tumepanga kujenga bagamoyo port mukaibuka lamu port,tunajenga btr mukaibuka nayo,na mengine kibao sasa usijisifu tunakuja kwa kasi ya ajabu subiri mungu atupe uhai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…