Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii nchi inakila sababu ya kupaa juu zaidi.
Plan :
Gold production iongezeke na kwa sasa Ndio kitu kinafanyika
Nickel / copper / cobalt uzalishaji Uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Iron ore uzalishaji Uanze kifunguliwe kiwanda kikubwa cha kuzalisha steel africa , asia nk
Rare earth minerals / graphite uzalishaji uanze na Ndio Kitu kinafanyika
Kuwekeza kwenye kutangaza utalii imefanyika Tusubiri matokeo
Kuweka miundombinu mikubwa na Ndio Kitu kinafanyika sasahivi
Mradi wa kuvuna na kuchakata gesi uanze

Serikali ipunguze matumizi
 
what about this kidimbwi
Hiyo ni 400+ metres, equivalent to 4+ football pitches.. and it's modern than your ORR u posted, take a look 👇and mind you, hii barabara iko na Flyovers mbili, hii ya tazara na pale chang'ombe U/C .. unataka kulinganisha na ule uchafu sijui ORR 😂😂😂 wapumbavu sana nyinyi wakunya
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba wangepiga Soup? [emoji1787]
 
Wale Wachina wa $7bln investment Tanga wameishia wapi? Au wanangoja EACOP?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba wangepiga Soup? [emoji1787]
usishangae hao watu wanakula mpaka monkeys ukiacha mbwa! Google bushmeat markets!
 
Na Kuna flyover nyingine (at least mbili) zaja SGR phase IIII !
Hawa jamaa wakitaja taja hivyo vi outer ring road vyao wanaona eti sisi tutakua hatuna barabara nzuri 😂😂😂 DSM iko na barabara kubwa kibao na most of them sikuhiz ni six lanes, 4 kawaida pamoja na 2 for BRT, actually our roads are better than theirs kwasababu zakwetu ni mult purpose, wako hapa kupiga piga kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…