Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

our SGR is of good quality. We can buy electric locomotives if we wish - and we could do it before you considering how laggard your process is.
We might pull off the electric trains even before tanganyika.......it will just take 2 months and voila!!
 
I imagine flying my bike there to the end [emoji298][emoji91][emoji91]
Siyo kama brt ya hawa jamaa,waste of space and money!yani hiwezi pita kitu ingine only basi za mwendokasi[emoji42]
I feel like this brt thing only works for the developed world......imagine kutoka job then unafinyana in some container in the name of decongestion.......I have even congratulated tz for that but does it solve the traffic menace in daresalaam?......Nairobi just needs a thorough sub way and it's possible......That's what working for any big city
 
😂😂😂 Kwamba BRT tume copy kutoka kenya.? 😂😂 Aah mmenishinda tabia
 
Miundombinu ipi wakati 70% ya nchi yenu haina national grid?

View attachment 2091824

View attachment 2091825
for that small section kenya we have secluded as arable, fertile and habitable (the rest being mostly arid and semiarid),. we have zeroed-in, in that section and developed it smartly. we have made the-most of that small area to achieve the 3rd highest gdp in sub saharan africa.
other countries that have utilised their available minimal space and achieved greatly are countries like egypt, israel, botswana, singapore, mauritius etc
 
anataka grid kwa desert......lol
 
i had previously said tht tz are constructing some huge mega projects that are beyond their status, ie. grade1 brt systems, and electric train system is totaly beyond their means or class in relation to their small size of economy.
also even the only interchange in tz, ubungo.. why was it 3levels in the first place, and again it's the only interchange standing in tz!. to me tht was a waste of public funds, coz those funds could have constructed upto 5 normal interchanges.

its normaly said 'live within you means' or "bite what you can chew"..
 
Mitaa ya Dar es salaam inazidi kupendeza kila kukicha, lakini ningependa hizi overhead power cables ziwekwe underground. Tena kwenye ujenzi wa Bagamoyo Rd hili jambo wangeweza kulishughulikia kiurahisi kabisa. Hizi cables zikiwekwa underground hata ajali za umeme wakati wa extreme weather zitapungua na pia mitaa itakuwa aesthetically pleasing.
 
Sio WFP tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona sasa ulivyochanganyikiwa, hao uliowataja hayo yalikua maamuzi yao...
Tuonyeshe hicho chakula kilipewa akina nani
WFP wameiweka Kenya ktk orodha ya mataifa yanaopokea misaada ya vyakula.Tena ikitoka N.korea mnafuata ninyi.
Sijui umenielewa?
Hao nimetoa mifano km kukazia kiujumla kwamba mnapokea misaada ya chakula.
 
Mbona unajotoaga sana akili kamanda? Nadhani angekuwepo halafu hivyo vitu vishindwe kutekelezeka hapo ungemlaumu maana huo ni mradi ulikuwa unaendelea siyo kwamba ilikuwa imeshakamilika asilimia mia. Na wakati akiwa hai mbona mambo yalikuwa yanakwenda vizuri tu kwenye hiyo miradi? Nadhani swali la msingi kwa sasa lingekuwa kwamba "Serikali iliyopo madarakani inachukua hatua gani kurekebisha hayo mapungufu yaliyojitokeza?". Afterall, serikali ni ileile japo imejipa jina la awamu ya sita, manifesto ya chama ni ile ile sasa sijui tunamlaumu marehemu ili afufuke aje kumalizia miradi ama vp? Let us be responsible where necessary. Kulaumu tu hakujawahi kuleta mabadiliko bali kuchukua hatua ya kurekebisha au kuondoa kitu kinachokufanya ulalamike!
 
Lets talk of absolute exports. Net exporter makes it less important. Important countries both import and export a lot of produce,
How much goods dis you export last year and even goods with services ..Data from CBk?
 
Kwa hiyo hapa tatizo ni reli kuwekewa umeme au tatizo ni kujenga SGR au tatizo ni Interchange?. Hii inadhihirisha jinsi maendeleo ya TZ yanavyowauma. Hivi kama nyie ndio mngekuwa na SGR yenye umeme, na interchange kama ya Ubungo ungetapika huu tumbo kweli? ANGALIA USIJE UKAPATA VIDONDA VYA TUMBO KISA WIVU WA MAENDELEO. Tz is moving on.
 
Mwenzako halaumu bali kasema ukweli, wewe ndio umekuja kulalama hapa

Ama uweke wazi tu ya kwamba hupendi ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…