Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, tafiti za WHO zinaonyesha kwamba chanjo zote zinauwezo wa kupambana na Omicron japo nguvu zinatofautiana kidogo.

Kuhusu hizi hedhi za kinamama, hapa tunazungumzia "Life & death" haya mengine tutashughulika naye baadae baada ya kuokoa maisha yao.
 
Ujenzi wa Kenya Advanced Institute of Science and Technology (KAIST) umeanza ndani ya Konza city.

Construction of Kenya tech university at Konza City begins​

BYKNA
SHARE

Construction of the Kenya Advanced Institute of Science and Technology (KAIST) has begun at the Konza Technopolis.
The university will be established under Koran Advanced Institute of Science and Technology (KAIST) model having being the first and top science and technology university in Korea which emphasizes on specialized training.
According to the project contractor, BOMI Engineering and Construction Consortium, the institution’s signature building is set to be completed by June 2022 in readiness for the planned Presidential ground breaking.
The first batch of students is expected to be admitted in September this year.
While touring the site to assess construction progress on Tuesday, University Education and Research Principal Secretary Amb. Simon Nabukwesi urged the contractor to work with speed and ensure the set timelines are achieved.
PHOTO | KNA
The campus is being constructed on 36 acres piece of land within the Konza Techno City.
KAIST will comprise 10 research science labs working with specialized local and international researchers in science, technology and engineering.
KAIST will develop academic curricula for six initial departments of Mechanical Engineering, Electrical and Electronic Engineering, ICT Engineering, Chemical Engineering, Civil Engineering and Agricultural Biotechnology, which will lay the groundwork for engineering research and education in Kenya.
The Kenya Advanced Institute of Science and Technology will be an institution of strategic national importance as Science, Technology, and Innovation is considered a critical catalyst for fast tracking modernization and transformation of Kenyan society into a middle-income country by 2030.
KAIST is expected to advance Science, Technology, Engineering and Mathematics (STEM) courses in institutions of higher learning in the quest to create a large number of specialists to industrialize the economy by 2030 as well as drive economic growth through advanced science and technology.

 
Train yenu ya SGR pekee inatumia 40% ya mafuta yote ynayotumika Kenya, sisi hapana taka ujinga huo ndio sababu tunajenge electric one, lengo ni kupunguza matumizi ya mafuta ili kusave foreign reserve yetu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wakenya Wana maisha ya kuigiza Sana🤣🤣🤣🤣ukija Kwa ground utashangaa verses realty
 
C wanapenda sifa za kijinga, amini nakwambia mkuu wakunya wangekuwa na maisha kama cc watanzania basi humu ndani pangewaka humu.
Maisha yako tanua kitaani kwenu acha kuja kututishia hapa wakati watu wa kitaa chenu ndio wanaujua uhalisia wako..
 
Duh kweli, mana hawana maisha mazuri ila wanaongopa kinoma, wangekua na maisha mazuri hawa inaonekana wangekua wanapiga picha makwao na kutupia humu kila leo
Hzo sio hulka za watu wanaojielewa kupiga picha makwao na kutuma mitandaoni..we pia hujakatazwa unaeza tupia mpka za chooni wala hamna tatizo lolote lile
 
Yenu ni December 2021? au November 2021..hicho tu ndo nataka nijue..maana ya Tz ni Nov 2021
Hatujatoa data za December 2021..zitatoka January hiiView attachment 2089352
 
Watakuambia Kenya tuna cheap tourism - eti wao ndio wanatengeneza pesa nyingi kwenye tourism.
Mmetuzidi mwaka huu tu ? Tena yetu ni report ya Year ending Nov 2021..nataka nijue yenu isije ikwa ya december 2021.....tunacompare na yetu ya NOV 2021

Plus angalia miaka 5 nyuma leta data tuone nani anaongoza .

Pili sasa hapo JNIA inapata 2.5 million passengers na KIA na Zanzibar around 2.5mil combined...

Tukifika number za JKIA je?
 
Mkifika 8M ya JKIA, JKIA itakuwa 30M.
 
Mkifika 8M ya JKIA, JKIA itakuwa 30M.
Na revenue zitakuwa almost the same au tumewapita ...za Tourism only

Most of passengers wanapita Kenya (JKIA)As transit ..due to Kenya Airways..na Most of planes using Nai as hub.. Honest opinion tho thats good kwenye kuongeza Landing fees na airport revenues ...na pia watu wakishop hapo Airport na kutumia services Etc..na wengne wanaweza kulala hotelini

Kwa Tz Air Tanzania Improving its services ndo itapelekea kwenye kupata transits wengi..i hope we will do better on that

'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…