Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Karma is a bitch. Magufuli is dead, speaker+CAG walifutwa kazi na hakuna opposition Tanzania. Mama fanya chenye unataka.
 
mm siijui lakini huna cha kunidanganya wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na hutawahi kunidanganya mpaka siku saa itasimama niamini
So kenya kwa sasa ni KC? nyambaff, kanywe supu ya pweza kwa bill yanguπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
So kenya kwa sasa ni KC? nyambaff, kanywe supu ya pweza kwa bill yanguπŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
nakwambia ww huna cha kunidanganya mm 🀣🀣🀣🀣 watu tunaingia number E sasa
 
ikiwa ni ppp kenya imetoa pesa kwenye hio project na ilitoa kias gani ??😁😁😁😁 na kwann wachina wataimiliki for 30 good yrs na kwann wachina ndio wata collect hzo pesa na sio serekali???😁😁😁😁😁 na kwann ajira nyingi za hio project zitachukuliwa na wachina kama ilivokua SGR


tafakari chukua hatua πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

oneni hili zuzu.. hapa kashiba maharage ya juzi bas anajiona kaongea bonge la point[emoji1787][emoji1787]

hizo pikipiki binafsi kwetu zinasajiliwa kwa MCxxx (MC-motor cycles) na hapo kuna bado za serikali na mashirika ya nje zenye special tags.. magari binafsi ndo yanasajiliwa Txxx
 
bahat nzuri sisi phase 3 tunajenga kwa pesa za ndani na hata hio pesa tuliokopa kwa phase hio still bado 30% imetoka ndani

sisi ni tofaut na nchi iliofeli haina hata uwezo wakujenga 5km of railway mpaka ikimbie ufaransa kukopa 😁😁😁

mchina kawatia kutu kavu makalioni alaf leo munadanganywa ni ppp subirni kazi ianze muone shughuli ya mchina sasa😁😁😁😁
 
siku hzi muko busy na siasa za tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚ munasahau mwakani lazima muchinjane kwanza
Unaumwa sana, hii ni maumivu, maendeleo ya Kenya itakutesa hadi basi, utavuja povu hapa hadi dunia inaisha ama siku ya kiama, hamgusii levels zetu ni Kiswahili tu utaandika humu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
huyo ni zuzu miaka yote humu ndani 🀣🀣 hujifanya anajua kila kitu ukimuumbua anakukasirikia hataki kupewa ukweli
 
tunacheka vile tanzania leo hii inawanyima usingizi 😁😁😁😁 zile enzi mulizokua munatukana sasa zimeisha mumebakia heshma na adabu 😁😁😁
 
Mbona Kenya itoe pesa na ni PPP model? idiot πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., rudi shule kilaza wacha kuhara kwa mjadala kila uchao πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ na uchumi wa Kenya uta paa for those 30 years, zile mabillioni zilizokua zinapotea kwa ajili ya jam hazitapotea tena, na sisi wenye magari tutalipia ada, ukilinganisha na mafuta tumekua tukitumia kwa ajili ya foleni hiyo ni nafuu sana! 😍 😍 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ’ͺ , faida ni kwetu pia, kilaza inaitwa "a win win situation!" Mchina anafaidika na kenya inafaidika at the same time, best development model!.., shule wewe ulikataa kuenda sasa ona ulivyo boya πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
tunacheka vile tanzania leo hii inawanyima usingizi 😁😁😁😁 zile enzi mulizokua munatukana sasa zimeisha mumebakia heshma na adabu 😁😁😁
Bado Tz inadharauliwa sana.., heshima bado kaka, ni watu kama wewe mnajiletea dharau na kujidhalilisha kwa ajili ya inferiority complex unayo dhihirisha kwa msimamo wako., yule anaye jiamini hajilinganishi, anajikubali kwa vyovyote vile, ata kama ni kile kidogo anacho, kisha anatembea kichwa juu, sio kujaribu kujipaka lipstick na kuficha uchi kwa kutumia propaganda ilhali kila kitu kiko wazi, kiswahili wacha pembeni, ni mchana, tazama mandhari ya dunia, wacha kuota ndoto za aliniacha πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nionyeshe hiyo pikipiki iliyosajiliwa na MC🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…