hawezi kuelewa,Kama Kenya wangekuwa wanasajili magari mengi zaidi yetu, tags (plate number) za magari yao zingekuwa na combination kubwa kuliko sisi. Combination ya namba za magari kwa nchi zetu hizi ni sawa, yaani (herufi 3, namba 3).
State ya California kwa mfano (herufi 3, namba 4), inasajili magari mengi kwa mwaka kuliko state ndogo ya kentucky (herufi 3, namba 3).
kuna bwana mapesa mwenzako anakuchora tu kwa camera atakuja kukufunikahuu ni mwaka wa rupurupu tupu katika jina la yesu. hakuna kuguza mshahara mwaka huu. amen! View attachment 2087697
ππππ utekelezaji sasa 100 yrs to comeUK firm set to design Sh28bn Railways City
WEDNESDAY JANUARY 19 2022
View attachment 2087699
An impression of the Nairobiβs new Central Train Station. PHOTO | COURTESY
View attachment 2087701
Nairobi Metropolitan Services (NMS) Director-General Mohammed Badi. PHOTO | FRANCIS NDERITU | NMG
A plan to build a Sh28 billion city has moved a notch higher after the Nairobi Metropolitan Service in partnership with Kenya Railways picked UK firm Atkins Global to design the project.
The deal will see the firm design the iconic Nairobi Railways City, multi-modal urban development project which will be situated in Nairobi at an unknown cost.
The project will be situated within 425-acres, of which 292 acres is owned by the Kenya Railways and currently serving as the Nairobi Railway Station.
βUK firm Atkins Global has been appointed to design Nairobiβs new Central Train Station and associated public realm, which will provide the centrepiece of Nairobi Railway City,β said UKβs Minister for Africa, Vicky Ford MP Tuesday.
βIt is a flagship project to regenerate Nairobiβs Central Business District initiated by President Kenyatta, who personally requested UK support when he met Prime Minister Boris Johnson in January 2020.β
Speaking in Nairobi yesterday, Nairobi Metropolitan Services (NMS) Director-General Mohammed Badi said the project will see Public Service Vehicles (PSVs) currently picking and dropping passengers around Haile Selassie roundabout forced to find a new holding ground to pave way for works on the project.
The PSV operators around Kenya Railways headquarters operating on routes such as Ngong, Kawangware, Kiserian and Kitengela, he said will be moved to new grounds next month to facilitate works on the multi-billion shilling project.
The project is set to be done in two phases. Phase one begins next month.
"Matatus currently operating around Kenya Railways Central Station will be removed by end of this month. This will facilitate works on Nairobi Railway City," said Mr Badi yesterday.
The project which is part of the Nairobi Integrated Urban Development Plan is also aimed at expanding the capital's Central Business District as currently set up.
The project covers the area between Haile Selassie Avenue, Uhuru Highway and Bunyala road.
The first phase of the 20-year project that is set to change the face of Nairobi Central Business District (CBD) was set to kick-off in 2020 until 2030 at Sh27.91 billion.
Railway infrastructure and water supply is expected to take the bulk of the costs at Sh17.5 billion and Sh3.9 billion respectively.
According to the Kenya Railways website, the strategic location of the Nairobi Station area also positions it perfectly to be an iconic nerve centre for the Nairobi Multimodal Transport System.
This is with the plan to establish a world-class new central station incorporating mixed-use commercial developments, hotels and intermodal facilities.
In Kenya gari ni mob sana.., ata kwa village towns utaona every morning and evening watu wakienda makazi na kurudi jioni traffic is busy all over.., alafu latest model cars zikitokea within no time ziko all over the country.., alafu plate number ina change very fast!...,Kulingana na hii taarifa, naona Kenya ina magari mengi zaidi na mbali maanake hapo kwenu, pikipiki, Tuktuk, Construction vehicles na cranes bado zinasajiliwa na huo huo mfumo wa Txxx AAA na bado mko Txxx DXx ambayo ni sawa na KDX xxxA ya Kenya. Kenya sahii tuko KDG xxxA yet pikipiki, tuktuk, construction vehicles na cranes zinasajiliwa na mfumo tofauti kama ifuatavyo-
Pikipiki - KMxx xxxA
Construction vehicles - KHMx xxx
Tuktuk - KTxx xxxA
County Governments - xxCG xxA
Ikumbukwe kuo katika eneo hili la East Africa, pikipiki hununuliwa kwa wingi zaidi ya magari mengine yote combined. This means if Kenya had the same registration code for motocycles as for other vehicles, sahii tungekuwa tunaongelea KJG xxxA ambayo ni sawa na Txxx JGx ya Tanzania.
nani alikudanganya π€£π€£π€£ tuktuk zinsajiliwa kwa number MC na sio TKulingana na hii taarifa, naona Kenya ina magari mengi zaidi na mbali maanake hapo kwenu, pikipiki, Tuktuk, Construction vehicles na cranes bado zinasajiliwa na huo huo mfumo wa Txxx AAA na bado mko Txxx DXx ambayo ni sawa na KDX xxxA ya Kenya. Kenya sahii tuko KDG xxxA yet pikipiki, tuktuk, construction vehicles na cranes zinasajiliwa na mfumo tofauti kama ifuatavyo-
Pikipiki - KMxx xxxA
Construction vehicles - KHMx xxx
Tuktuk - KTxx xxxA
County Governments - xxCG xxA
Ikumbukwe kuo katika eneo hili la East Africa, pikipiki hununuliwa kwa wingi zaidi ya magari mengine yote combined. This means if Kenya had the same registration code for motocycles as for other vehicles, sahii tungekuwa tunaongelea KJG xxxA ambayo ni sawa na Txxx JGx ya Tanzania.
hehe. hebu come again. hapo kidogo sijakupata vizurikuna bwana mapesa mwenzako anakuchora tu kwa camera atakuja kukufunika
ww usitake kutudanganya sisi tu tuliotembea na tunaojua vzr haya mamboIn Kenya gari ni mob sana.., ata kwa village towns utaona every morning and evening watu wakienda makazi na kurudi jioni traffic is busy all over.., alafu latest model cars zikitokea within no time ziko all over the country.., alafu plate number ina change very fast!...,
Nabii muongo mwehu π π π π π π ulinena vile vile kwa Expressway.,., sasa mtasubiri zaidi ya miaka 25.., mtangoja hiyo miaka 100 π π π π hadi raha (kwa hisani ya MK254)ππππ utekelezaji sasa 100 yrs to come
tanzania sasa tunaingia Number E nyinyi bado muko KC ???πππππIn Kenya gari ni mob sana.., ata kwa village towns utaona every morning and evening watu wakienda makazi na kurudi jioni traffic is busy all over.., alafu latest model cars zikitokea within no time ziko all over the country.., alafu plate number ina change very fast!...,
Kiswahili pelekea wa vijiweni.., Tanzania ni ile ile moja hakuna nyingine.., so nenda kadanganye your fellow blind patriots π π π π πww usitake kutudanganya sisi tu tuliotembea na tunaojua vzr haya mambo
yani kwenye suala la magari mengi tanzani iko mbali sana tena ina magari mengi sana
hata tukija kwenye taasisi za kiserekali tu ambazo number zao ni tofaut na za serekali
mfano hzi hapa na sio taasisi moja ziko kibao achilia mbali taasisi zisizo za kiserekali sasa
View attachment 2087765
nilinena sikujua kama mchina ndio ataimiliki miaka 30 na mutalipia ada kwa mchina mpaka dunia itasimama π€£π€£π€£π€£π€£Nabii muongo mwehu π π π π π π ulinena vile vile kwa Expressway.,., sasa mtasubiri zaidi ya miaka 25.., mtangoja hiyo miaka 100 π π π π hadi raha (kwa hisani ya MK254)
View attachment 2087760
Soma tena.., π π
Speaking in Nairobi yesterday, Nairobi Metropolitan Services (NMS) Director-General Mohammed Badi said the project will see Public Service Vehicles (PSVs) currently picking and dropping passengers around Haile Selassie roundabout forced to find a new holding ground to pave way for works on the project.
The PSV operators around Kenya Railways headquarters operating on routes such as Ngong, Kawangware, Kiserian and Kitengela, he said will be moved to new grounds next month to facilitate works on the multi-billion shilling project.
The project is set to be done in two phases. Phase one begins next month.
"Matatus currently operating around Kenya Railways Central Station will be removed by end of this month. This will facilitate works on Nairobi Railway City," said Mr Badi yesterday.
π€£π€£π€£π€£π€£ sikutegemea ukasirike hviKiswahili pelekea wa vijiweni.., Tanzania ni ile ile moja hakuna nyingine.., so nenda kadanganye your fellow blind patriots π π π π π
Yaani kumbe ata hauijui Kenya boya wewe π π π π π π ., alafu mnajumuisha na piki piki na tuktuk, na bado sana, baki hapo vijiweni tu π π π π π πtanzania sasa tunaingia Number E nyinyi bado muko KC ???πππππ
mm siijui lakini huna cha kunidanganya wewe ππππ na hutawahi kunidanganya mpaka siku saa itasimama niaminiYaani kumbe ata hauijui Kenya boya wewe π π π π π π ., alafu mnajumuisha na piki piki na tuktuk, na bado sana, baki hapo vijiweni tu π π π π π π
Tofauti ya PPP na loan iko wapi? kilaza kwa ubora π π π π π π mtalipia loan ya SGR yenu na miradi mengine kwa miaka mingapi? sasa serikali ya mama wanatafuta jinsi ya kupata PPP wewe na akili zenye hazijaenda shule unabweka hapa π π π π π πnilinena sikujua kama mchina ndio ataimiliki miaka 30 na mutalipia ada kwa mchina mpaka dunia itasimama π€£π€£π€£π€£π€£
yani mchina anafanya chochote anachotaka kenya ππππππ
anyway asante kwa information πππ