Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wala haina hata mitaro, Kenya ni Mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo Ni Kwa residential area ya low income area Mombasa heri hiyo Haina mitaro Leta ya Dar ama Mwanza low income area we see kama njia si za dongo....
 
Teargas, tunakusubiri kule kwenye Uzi wa Hospital, mkenya mwenzako anataka wakenya kuachana na Hospitali zenu za Kenya[emoji23][emoji23][emoji23]
Do you want me to raise Magufuli from the dead to tell us how Kenyan hospitals are far much better than those clinics you in Tz?
 
Hee.! Vipi nyie watu, 😂😂😂 yani hako ka bridge kadogo ndio Katutie kiwewe.? Uko kwenu hamjazoea Madaraja wazee.. hiko ni kadaraja ka kawaida na viko vingi mno bongo..
Bongo nyingi za magogo au unadhani hatujui... Wadhani Tanzania umeificha kwapani?
 
Do you want me to raise Magufuli from the dead to tell us how Kenyan hospitals are far much better than those clinics you in Tz?
Tanzania hospitals ni trash[emoji706] kama rais wa Tanzania magufuli anakufia Nairobi Hospital je mwanainchi wa kawaida?
 
What about better Hospital services, why your are citizens are running away to Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You will never find a Kenyan who is not staying at the border of Tz and Kenya coming to Tanzania for treatment. On the other end, most influential and rich Tanzanians flock to Kenyan hospitals to look for better health care.
 
Tanzania hospitals ni trash[emoji706] kama rais wa Tanzania magufuli anakufia Nairobi Hospital je mwanainchi wa kawaida?
The life of their opposition leader was also saved at Nairobi hospital. AMREF is airlifting rich Tanzanians daily to Nairobi for treatment.
 
Kutoka Dar mpaka Mwanza kutakua na overpass zaidi ya 200, hapo bado kutoka Isaka mpaka Kigali

Kwenye miundombinu hatuna mshindani.
Barbara mojavtu mshaanza kusema hamna mshindani hehe danganyikas are funny
 
You will never find a Kenyan who is not staying at the border of Tz and Kenya coming to Tanzania for treatment. On the other end, most influential and rich Tanzanians flock to Kenyan hospitals to look for better health care.
This woman is from Nairobi, she attended different Hospitals in Nairobi in vein, listen to her carefully
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
The woman came to Tz because of cost not because of better healthcare.
Listen to her very carefully don't rush, she says that tried different Hospitals in Nairobi, also she says knew about the Quality of Tanzanian Hospitals that's why she decided to come and she advices other Kenyans to make use of Tanzanians Hospitals [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…