Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🀣🀣🀣 Leo nimecheka yangu yote.
Na unamfurahia mwenzako kwa claims zake za kitoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡
 
hizo ni world class mansions tanzania style......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uswazi hovel master ensuites
Kunakaa tu umaskini na si kia ubaya. Maybe the kubaka highway will spur growth.
 
Unaizingumzia vitu unavyoishia kuviona kwa picha tu mzee πŸ˜‚πŸ˜‚ so sad.. kwamba hakuna pedestrian bridges πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umewahi kufika.?
Siongelei pedestrian bridges tatu kwa jiji nzima. Naongelea pedestrian bridges zisizohesabika maanake mji mkubwa kama Dar unafaa kuwa nazo kila Mahali. Hiyo Kibaha highway haifai kuwa na Zebra crossing hata moja. Inafaa kuwa na pedestrian bridges more than 20. Thika road pekee inazo 30.
 
36/50

lol,,,,,,stop running to dodoma village,,,,,lets deal with darislum first......dodoma hata airport haina haiwezani na isiolo
Tukija kwenye overall housing standards, Nairobi inapigwa na Dodoma acha ubishi, halafu Tanzania ina mkopo wa dollars billions 36 lakini ina miundombinu ambayo Kenya itachukua miaka 50 kuipata, Kenya ina deni la dollars billions 83 lakini ni slums tu ndio mmefanikiwa kuzijaza nchi nzima

Dom kwenye estates and housing standards inaipiga Nairobi kataa kubali.
 
Deni lenu sai ni 55% ya uchumi wenu, unalijua hilo kwanza[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
 
Deni lenu sai ni 55% ya bajeti yenu, unalijua hilo kwanza[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
Inakuuuma kuona Tanzania imefanya makubwa na mkopo mdogo iliochukua ukilinganisha na kunyaland, ilikua inachukua mikopo kulipa mishahara na kununua chakula halafu unasema kilimo hakifai 🀣🀣🀣🀣

Hiyo 55% nani kakupa?

 
Umekasirikaee!!jiwe kawadanganya bana, sai mama kaamua kuweka mambo wazi wazi[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
 
Distance kutoka CBD mpaka Kimara ni 20km and the distance from kimara to Kimara mwisho is 5km, therefore distance from CBD to Kimara mwisho is 25km, ambaoo all the way unatembea kwenye barabara ya njia sita, two lanes for BRT πŸ‘‡ukifika Kimara mwisho ambapo kuna facilities hizi πŸ‘‡ barabara ya BRT ilipoishiandio inaanza barabara ya 19km inayoitwa Kimara-kibaha high way yenye lanes 8.. kwahyo hii barabara ukiuunganisha from CBD to kibaha ni 25km+19km=44km .. acha kuji confuse huijui DSM kaka...
 
Umekasirikaee!!jiwe kawadanganya bana, sai mama kaamua kuweka mambo wazi wazi[emoji1787][emoji1787]

JamiiForums mobile app
Jiongelee shithole yenu iliochukua mkopo wa dollars billions 83 lakini kwa round hakuna mradi wowote wa maana zaidi ya MGR km 300 ilioishia kichakani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwani mna muundombinu Mwingine mkubwa zaidi ya ile MGR ya kichakani? Nikumbushe πŸ˜…
 
Wewe hujielewi lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…