Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dada komora096 mtu kajiripua huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha halafu wala nilikua sijaona alivyojilipua kabla sijapost hii 😂😂😂



Kumbe tayari alishajitia middle finger peke yake, sasa anuse tu sababu hamna namna 😂
 
Hapana sio 13, ni 20. Wewe ni fala kuliko kila mtu hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Kakasirika [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So leo single lane imekuwa double lane? Hizo lanes za pembeni ni single my friend [emoji1787][emoji1787]
Yani ww kwa akili yako hii ni single road? Hebu ona vehicle hapo pembeni alafu niambie na eneo lililobaki unamuachia nani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe enda kwa daktari ukaangaliwe macho bwana, tangu lini pikipiki ikageuka ikawa gari?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wewe enda kwa daktari ukaangaliwe macho bwana, tangu lini pikipiki ikageuka ikawa gari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So kuna gari inayoweza ku cover barabara nzima, hebu nitajie hyo gari [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kenyans control Tanzanian economy. Alafu nani amekudanganya pesa za export zitabaki Tanzania?🤣🤣
Huku ndio kujifariji😂😂.

Kwani una exports from where? Lazima zibaki , unadhani Trump alikuwa mjinga kuwavuta American investors waliowekeza China kurudi kwao?

This is how we control you😀😀😀



 
Sasa unataka kulazimisha pikipiki ikuwe gari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekuambia unitajie gari inayoweza ku cover barabara nzima kama hii, kama haipo ndio uniambie sababu za kujenga service road pana kama hii[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekuambia unitajie gari inayoweza ku cover barabara nzima kama hii, kama haipo ndio uniambie sababu za kujenga service road pana kama hii[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2078466
That is a single lane and that`s pikipiki. Hizo explanations zingine zenye hazimake sense unaezapeleka kwako😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…