Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe!!hapo wewe unaona lanes ngapi[emoji1787][emoji1787]
Ama bado uko pale pale na parallel yako, leo umeumbuka basi

JamiiForums mobile app
 
Hakuna na haijawahi kutokea road ambayo hai intersect, tatizo ni kwamba elimu yenu ndogo imebobea kwenye masomo ya arts tu.
There are so many roads that are parallel. Zinaunganisha na barabara zingine but not subsidiary of the same road. Please go and learn about parallel alafu urudi😂😂🤣🤣
 
There are so many roads that are parallel. Zinaunganisha na barabara zingine but not subsidiary of the same road. Please go and learn about parallel alafu urudi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Kama hii [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ushatii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kutii ujinga? Fala hata hajui maaana ya Parallel lakini kamekazana as he is the inventor of the word.🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…