Tupa hio bangi mbovu unayovuta huko. Bangi sio nzuri kwa afya yako. Nyie hamna vidude kama hivyo kwenye port zenu. Usidhani sisi hatuielewi Tanzania mbele nyuma. Tunajua hata kama mumevaa chupi au la. Hizi mashine mtakuja Kenya kuzitazama na kuzubaa.What's so special about this thing kitovu? Mbona Mtwara, Tanga na Kigamboni zipo kama hizi nyingi tu? 🤔
Wow I didn't know mashujaa museum is that big. It is humongous.Two things to notice in this pic.
1. The size and Beauty o Mashujaa Museum
2. The number of aircraft present at Wilson airport at the same time.
View attachment 2070995
Try to imagine the picture has not even fully captured it.Wow I didn't know mashujaa museum is that big. It is humongous.
Wooiye yaani uchumi wenu unakuwa kwa 5.2% katika robo ya tatu ya mwaka jana wakati uchumi wetu ulikuwa kwa 9.9% katika muda huo huo? Enyewe poleni sana Malazy.
those are called hangars kijana wa tandale, and those are standard deigns for aircraft hangars
View attachment 2070950
None of your airports is busy😂😂Sikiliza Buda acha ubwege. Sisi tuna International Airports 3 ambazo ziko busy through out the year na ndege za Kimataifa. Viwanja hivyo ni JNIA, KIA na Zanzibar ukiacha vingine vidogo kama Mwanza na Songwe. Sisi hatutegemei ka-uwanja kamoja kama nyie ndio maana huwezi kukuta viwanja vyetu vimejaa kibwege. Nchi yetu inaendelea left right and center tofauti na nyie mji ni Nairobi tu. Kwanza ni ajabu kujivunia kauwanja kalikojaa vindege hadi pa kupark hakuna, Airport inasuffocate mpaka hewa hakuna. FYI hiyo sio credit ni failure, so wake up and re-evaluate your strategies, mtajikuta nyuma sana na hatupendi tuwaache nyuma hivyo majirani zetu, at least msiwe mnashangaa sana baadhi ya mambo madogo madogo kama train za umeme na ndege za viwango[emoji28][emoji28]
Hehehe, kitu ya 16 lanes inatoklezea.😎😎😎
Halafu chongchung anasema ati hata wao wana vitu kama hizi huko kwao. That guy has a loose nut in the head.Some people still have false hope that Dar port can still compete with Mombasa😂😂
View attachment 2071008
View attachment 2071018
View attachment 2071026
Ebu mwambie akuonyeshe picha😂😂Halafu chongchung anasema ati hata wao wana vitu kama hizi huko kwao. That guy has a loose nut in the head.
Mkuu kwani wenye maisha magumu/ya chini wako kijijini tu?27k inafaa vijijini uko sio kila mahali
Can you imagine there was a time KICC used to dwarf every building in this area?
Na bado kuna road reserve ya kuexpand hadi 20 lanes +Hehehe, kitu ya 16 lanes inatoklezea.😎😎😎
Sasa kama yule Dhalimu aliua uchumi huoni kwamba hii ni hatua nzuri?Wooiye yaani uchumi wenu unakuwa kwa 5.2% katika robo ya tatu ya mwaka jana wakati uchumi wetu ulikuwa kwa 9.9% katika muda huo huo? Enyewe poleni sana Malazy.