Gwakagwaka
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 526
- 1,426
Yaani nyinyi kwa vidata uchwara tu. KENYA Pop ni 47M?ona... kenya population 47m for $109B gdp.
tanganyika 61m for $65B.. hatuwezi kua level moja ata kwa dawa.
per capita ni $2,300 vs $1,100 (NB: kenya tunaelekea Medium Income Economy) ilhali tanganyika itabaki kua Lower Middle Income till 2050
Muwaguse kama hamta kimbia kanchi kenu!leo nimekua Gikomba.. wah! nimeshangazwa sana vile watanganyika wameongezeka huku maradufu.! hapo nyumae hawakua wengi hivi... its high time gov't ifanye jambo. watanganyika kibao tu sana! especially wa Chagga, na Wanyamwezi View attachment 2063107
tuna kimbia tunaenda wapi.? ingekua ni wakenya kariakoo dar, wangekua wamefurushwa kitaaambo... japo sisi niwakarimu sanaMuwaguse kama hamta kimbia kanchi kenu!
Mombasa ni moto🔥🔥Kigali is one of the best cities in Africa with Classic infrastructure, well organized, safe, super clean, digitalized etc, unapoweka Kigali pamoja na mji mchafu unaonuka na uliojaa mashoga kama Mombasa ni kuikosea heshima Kigali.
mji unaonuka harufu mbaya ya kila aina ya ouzo kama Mombasa haupaswi kulingamishwa na Kigali . View attachment 2062827
View attachment 2062828
View attachment 2062829
View attachment 2062830
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni noma mzee baba,kamoja tu ndiyo kamejaziwa,GDP haibadiliki licha ya kuonesha uwezo mkubwa wa kufanya miradi mikubwa na ya gharama ndefu, tuko pale pale kwenye 60s, don't you smell something fishy on this?[emoji116][emoji116]View attachment 2063050View attachment 2063051
na filter ama bila filter mombasani bado inatesa ile mbaya 🔥🔥View attachment 2063158naomba nipost bila filter plz🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 nilijua lazma uchanganyikiwena filter ama bila filter mombasani bado inatesa sana 🔥🔥
the small section of 'Old Town' is part of our kenyan heritage and its classified as UNESCO World Heritage Site. umesikia😂😂😂😂😂 nilijua lazma uchanganyikiwe
nilijua lazma uchanganyikiwe budaa🤣🤣the small section of 'Old Town' is part of our kenyan heritage and its classified as UNESCO World Heritage Site. umesikia
overrated city......Mombasa is bigger than this KigaliKigali is one of the best cities in Africa with Classic infrastructure, well organized, safe, super clean, digitalized etc, unapoweka Kigali pamoja na mji mchafu unaonuka na uliojaa mashoga kama Mombasa ni kuikosea heshima Kigali.
mji unaonuka harufu mbaya ya kila aina ya ouzo kama Mombasa haupaswi kulingamishwa na Kigali . View attachment 2062827
View attachment 2062828
View attachment 2062829
View attachment 2062830
Morocco is a third world country...........Tunaweza kuamua kupaisha GDP ili tuvute mikopo mingi ya wazungu wakenya wanavyofanya, but kwa ground mambo hujieleza..
Morocco ina GDP ya $110b na Kenya nao wanadai wana gdp ya $105b
Tofauti kwa ground ni kuwa Kenya ni nchi ya ulimwengu wa tatu na Morocco ni ulimwengu wa kwanza.
Think kaka, think .