chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Yote uliosema yakizingatiwa bado dollars billion 1.4 ni nyingi sana, sidhani kama kipande hiki kitakua na tunnels na zitakua kwa urefu gani, Singida na Tabora ni mikoa ambayo haina terrains kali kama Morogoro yaani hata Mwanza yenye milima mingi na eneo kubwa pia linapita katikati ya mji halijagharim pesa nyingi kiasi hicho ukilinganisha na kilometers za railway.Sio lazima iwe ufisadi per se...inawezekana kweli kuna hela italiwa even millions of dollars ....ila sio ya kuongeza 1 trillion nzima....
Kuna Inflation pia...kumbuka mwaka 2018 sio sawa na 2021..vitu vimepanda bei...hela imeshuka thamani sio TzS tu hata USD
Covid inaweza kuwa imeleta importing cost kuongezeka kutokana na supply ya materials etc..
Je wataimprove nn kwenye hio reli..vituo vitakuaje etc...
Madaraja ni mengi au machache kuna tunnels?
Maulana Karenga is not a Tanzanian. He is the person that came with the festival in 1966 after reading Jomo Kenyatta`s book titled "Facing Mount Kenya" He was later on inspired by The Harambee slogan.
Maybe Nyerere ndio hakuwa anajua kuandika sababau hakuna kitabu aliandika by that time that was worth reading.Was Jomo Kenyatta capable of writing a book? He didnβt attend classes
Kenyatta mnamuita Zezeta wenyewe halafu unataka kumuhusisha na mambo ya maana? ππππMaybe Nyerere ndio hakuwa anajua kuandika sababau hakuna kitabu aliandika by that time that was worth reading.
Endelea kuforce Nyerere kujulikana. Hakuna mwenye alijua Nyerere outside SADC and EA.π€£π€£π€£Kenyatta mnamuita Zezeta wenyewe halafu unataka kumuhusisha na mambo ya maana? ππππ
Ujamaa to the world baby π€£
Hii kitu naona imekupa break kidogo
View attachment 2060618
Escape from Sobibor π€£π€£π€£I said it here and I`m repeating it again. There is no place Tanzania that can come close to Kisumu when it comes to street level.
View attachment 2060621
Basi Zezeta anajulikana zaidi! πEndelea kuforce Nyerere kujulikana. Hakuna mwenye alijua Nyerere outside SADC and EA.π€£π€£π€£
Do you understand the meaning of referrals?πππ If look at the statement it clearly show that Nyerere was afterthought. Nobody knew him until recently when Americans started to dig deep about the understanding of the seven words. Hata Malawi walitajwa πππEscape from Sobibor π€£π€£π€£
Njoo hapa bwana kashandee! (in Neria advocate voice) π€£π€£π€£π€£
View attachment 2060624
Anajulikana na ndio maana most important people in the world by that time associated with him.Basi Zezeta anajulikana zaidi! π
Hawa watu ni wajinga sana. They are riding on other people`s success. I wonder why that man did not mention either Tanzania ama Nyerere in his books, yet they are claiming that he got inspired from Nyerere.For those idiots trying to claim everything including Kwanzaa, here is something from Kwanzaa founder Maulana Karenga: -
View attachment 2060635
Nipate shida aje na tulianza hii shugli mbele yenu. Hii meli ya MV Uhuru ishasafirisha over 60,000 tonnes za mafuta. Na munapayuka bila aibu eti Uhuru alicopy Magu. Tuambieni hii yenu imesafirisha tani ngapi so far. Tena yetu ni quality build. Wachana na hio yenu ya jua kali. ππππmm sitaki upate shida πππππ
Fact : Nyerere is more in Kenya than Zezeta ππππAnajulikana na ndio maana most important people in the world by that time associated with him.
Kwanza they don`t even have a jetty, so sijui hiyo Uhuru alicopy kwa kaburi la Magufuli after yeye kufa?Nipate shida aje na tulianza hii shugli mbele yenu tayari ishasafirisha over 60,000 tonnes za mafuta. Na munapayuka bila aibu eti Uhuru alicopy Magu. Tuambieni hii yenu imesafirisha tani ngapi so far. Tena yetu ni quality build. Wachana na hio yenu ya jua kali. ππππ
View attachment 2060560
View attachment 2060641
Thanks for proving my point that Nyere is only known in AE and SADCπ€£π€£π€£Fact : Nyerere is more in Kenya than Zezeta ππππ
View attachment 2060646View attachment 2060647
Wanapenda sana kupayuka vile wako mbele kwa kila kitu lakini kwa ground ukweli inajulikana. Inferiority complex huwasumbua sana.Kwanza they don`t even have a jetty, so sijui hiyo Uhuru alicopy kwa kaburi la Magufuli after yeye kufa?
For those idiots trying to claim everything including Kwanzaa, here is something from Kwanzaa founder Maulana Karenga: -
View attachment 2060635
Endeleeni kujiaibisha πππππHawa watu ni wajinga sana. They are riding on other people`s success. I wonder why that man did not mention either Tanzania ama Nyerere in his books, yet they are claiming that he got inspired from Nyerere.
Jamaica ipo Africa?Thanks for proving my point that Nyere is only known in AE and SADCπ€£π€£π€£