Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi umeniwekea picha nikakujibia, basi unafaa unifafanulie hapo ni kenya wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]hapo ni tz kumbe tumejenga sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji115]hapo ni tz kumbe tumejenga sawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Emojis haziwezi kukwapua, hapo ni kenya wapi mzee..
Hahaha!!umeleta picha nikakujibu mpka ukaogopa kuendelea
 
Sasa mm nikianza kutaja za Dar c utajinyea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Emojis haziwezi kukwapua, hapo ni kenya wapi mzee..
Hahaha!!umeleta picha nikakujibu mpka ukaogopa kuendelea
Sisi tuliweka tuwasikie wakunya mtakavyo sema sasa nimekukamata wewe ulikuwa unatetea huo ujinga
 
There is nowhere in Tanzania that can be compared to Kisumu in terms of cleanliness. Mwenye anapinga alete video tulinganishe.


Kisumu ilishapigwa na Arusha, kwenye hotels, residential na kila kitu, kama unabisha tuanze battle ya Kisumu vs Arusha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimekamata nyani huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimepost picha na na kuweka flytoilet interchange nugu zimekuja kutetea picha bila hata kujua kuwa ni kenya au la[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli nyani ako na iq 0
 
Sasa mm nikianza kutaja za Dar c utajinyea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu taja hizo zenye zimejengwa after hiyo ripoti ya world Bank kutolewa. I`m waiting.
 
Nimekamata nyani huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimepost picha na na kuweka flytoilet interchange nugu zimekuja kutetea picha bila hata kujua kuwa ni kenya au la[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli nyani ako na iq 0
Wapi nimetaja hapo ni kenya, mimi sio zuka nimekujibu kulingana na caption yako na imagine mimi sio engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Arusha should compete with Kericho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…