Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shida ni vumbi, huwezi fananisha na Victoria hapo [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2056228
Kwani Victoria Haina towers,,ya ni tu nyumba nne pekee Kando ya barabara unalinganisha na Westlands yenye iko density Kuliko posta😂
Nikichukua hizi nyumba Tatu za Westlands natoa njasho Victoria 😍😘





 
Ali mradi ionekane kama ya Ulaya tuu japo quality ni poor sana iko kijua kali [emoji22]
The level of desperation here is sickening. So mshajiaminisha hapo ni Kenya!? 😂 😂 Lazy trolls!
Hiyo barabara linapatikana mji gani hapa Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…