Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia



wazungu tunawaumbua safari hii
 
Picha za Nairobi bila effect au kutumia photo editor hamuwezi ku tuma uku , ilo jiji ni jiji la kale All nairobi is museum au antiquity , kuanzani leo mki posti leteni picha ambazo ni halisi za antiquity nairobi city
serikali yao imepiga marufuku kupost picha halisi .....wakifanya hivyo ni kosa la jinai kwao .......nairobi bila photo editor nothing,nairobi bila kutegea angle nzuri yakupiga picha ni kesi......siunajua picha za jiji ni mali ya serikali hivyo wametengeneza deal na google[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kenyans are right,Nairobi is great,you can tell that by looking at these beautiful building below.this is Nairobi guys.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii inakaa Mombasa...

sent from iPhone 7
 
Majadiliano kuhusu pesa zetu za madini $150billion na $40billion za faini jumla ni $190billion. Huku wakenya wakiendelea kulia na njaa sisi tunapiga madili makubwa kubwa ya dunia



safari hii hatufati mzungu ulaya,ila yeye ndiye anayetufata sisi watu LDC kuja kufanya mazunguzo.

mambo ya kwenda ulaya kupiga selfie au ku-shake hands na wazungu tulimuachia uhuru kenyatta na wakenya wake.
hapa kazi tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…