Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaongelea Marwa hapa, sio wewe wa google, haujatoka nje ya nchi yenu, usijaribu kudharau Marwa, sio size yenu kama vile Kenya sio size ya Tz, mko down bana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., hapa πŸ‘‡ trips zake nchi tofauti, fukara kama wewe hawezi kabisa! I like his style, ana jiweka level ya raiya wa nchi anayo zuru to feel the "shoes", kama tu Sabbatical, wewe naona wivu imekutesa, zoea πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , (On Kisumu kila kitu kiko wazi, ni kiswahili chenu tu., yaani domo domo kutetea what ain't there, uliweka google earth ukajipiga mguu risasi, game over!)

Akiwa Colombia
Cities in USA
In Tz..

Page yake, see places jamaa amesafiri, dadeki dogo.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
They don't understand travelling on a budget or being a minimalist. Currently Marwa is in Colombia.......
 
Outside Dar., haupati mji iko na class and status kama Eldy..,
Eldoret.., the 5th!













 
They don't understand travelling on a budget or being a minimalist. Currently Marwa is in Colombia.......
Hawa wakiona kitu yenye hawana lazima watafute pakuponda, yaani ni wivu, hakuna youtuber kutoka Tanzania yoote ame travel kama Marwa, na kuna wengi, we kill them with facts, wanabaki na excuses uchwara tu, sasa ona mtu anajaribu to compare Arusha to Kisumu! seriously! hawaitambui dala.., google earth imeweka kila kitu clear, Arusha iko na funny residentials pia kama tu Dar., hovyo! hakuna battle, maybe vijimaneno na picha angles tofauti kama the way they do with Dar is slum.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Iangalie tu google earth, wachana na vipicha, tazama mji woote., all corners., Tz bado iko down man πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwa miji yenu kando ya NAIROBI ilivyo hovyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utapata aibu vibaya mnoo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We ni fala sana wewe, ngoja nikuaibishe sasa, yani unataka kubishana na ukweli.? πŸ˜‚πŸ˜‚ hii ni google Earth na hii ndio Kisumu πŸ‘‡ikiitoa kisumu village center maneno yaliyobaki yote yapo hivi πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ingekua ni kavideo kadogo watu wengecheka sana humu
 
Naona tulivyomzungumzia jamaa ukapata gear ya kuingia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ipo hivi tunaenda mpaka kieleweke, je kipoison kinaweza onyesha ushindani hata robo kwa Arusha City
 
Naona tulivyomzungumzia jamaa ukapata gear ya kuingia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, ipo hivi tunaenda mpaka kieleweke, je kipoison kinaweza onyesha ushindani hata robo kwa Arusha City
Umeaibika kutokana na kukurupukwa kwako kuhusu Marwa.., Arusha kazi yake nilimaliza kitambo sana.., miji yenu bado sana.., ni visehemu tu, kahoteli hivi., lakini kwa ujumla., mko down no debate.., hazina class on average., Tanzania bado ni maisha ya kishamba ata mijini on average..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…