Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko hivi, huyu bwana Walker255 co wa leo humu kwenye hii thread, cku zote alikuwa upande wa Tz akisifia kila kitu cha Tz na kuponda vitu vyote vya Kenya, ilifikia kipindi alikuwa ni miongoni mwa watu wanaoogopeka na Wakenya kama co kuchukiwa kabisa, lkn leo huyu huyu amegeuka na kuanza kuona mapungufu, naweza kumletea post zake akisifia mambo ya Tz hata hyo mitaa anayokashifu leo hakuwahi kuiponda huko nyuma.

Ss swali linakuja, je? Huyu bwana Walker255 huko nyuma hakuwa na exposure? Kwamba hakuwahi kuona miji mizuri ya wenzetu huko nje ambako anapatolea mfano leo hii? Au huyu bwana Walker255 hapo mwanzo hakuwa na elimu juu ya upangaji wa miji lkn leo ndio ame graduate so anaziona kasoro?

Au huyu bwana anajifanya hajui lengo la Emc2 kufungua huu uzi na anajaribu kupindisha lengo? Kama hajui lengo la kufungua huu uzi arudi juu asome tena maana ya kufungua huu uzi alafu aje atukosoe tunachokifanya hapa.

Mm namshauri huyu bwana Walker255 afungue uzi wenye contents anazosema yeye alafu cc tutajumuika naye but huu uzi hauna hizo contents anazosema yeye.
 
Your so called City at night 👇View attachment 2048601
😂😂😂😂😂😂 Linganisha na hapa 👇View attachment 2048602kwa mujibu wa upeo wako mdogo ni mji gani unawaka taa eneo kubwa zaidi .?
Airport inawaka kushinda CBD 😂😂😂😂 Taa za nyumba hizo nje ni giza tupu. Hakuna hata barabara inawaka hapo kwa mitaa. On a vile Nairobi mataa yana meremeta, Dar is too dim nikama munatumia candles. 😂😂😂
 
Ndiyo chanzo hicho, tangu cku hiyo akawa against, huu ni udhaifu wa kiwango cha juu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo jamaa yupo hovyo sana, halafu inaonekana ni incompetent kwenye masuala ya nchi, hajui chochote yeye ana bwata tu [emoji23][emoji23][emoji23] alimradi na yeye aonekane yupo... Ujuaji mwingi kwenye hakuna
Kwanza tangu cku ile ametofautiana na mambo ya JPM na yule daktari alisema hatorudi kwenye huu uzi licha ya kumuomba aache hayo mambo, mm mwenyewe nmewahi kumfata PM co mara moja kumuomba aachane na hizo habari cz mchango wake tulikuwa tunauhitaji lkn akawa mkaidi kabisa, ss amerudi lkn kwa style nyingine ya kuponda.

Mm cna shida naye aponde anavyoweza ila namkumbusha tu hii ni nchi yake hata afanye nini, na pia hakuna shida yeye akitofautiana na watu but ajue kwamba nchi imepiga hatua kubwa atake asitake, tofauti na tulipotoka.

Tuna tatizo letu kubwa ambalo hata mm huwa nalipigia kelele la ujenzi holela, na hili ni tatizo la Afrika na kwengineko duniani, but kuponda kila kitu haimsaidii kupata nafuu ya maumivu.
 
Eneo lote hilo hakuna kitu isipokuwa vijengo viwili lkn picha zake zikipigwa upande upande unaweza sema ni kweli.

Wakenya kwenye picha noma sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndiyo chanzo hicho, tangu cku hiyo akawa against, huu ni udhaifu wa kiwango cha juu kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata unifungie mabomu ya kujitoa muhanga sitoponda nchi yangu ila nitakosoa.

Kuna tofauti kubwa Kati ya kuponda na kukosoa.

Wengi huwa wanaponda wakidhani labda wanakosoa.

Kuponda na mihemuko havijaachana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…